Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata angejenga huko Kibaha, wakati huduma ziko Posta ingesaidia nini?Uliambiwa uje ujenge Kibaha ukang'ang'ania Bagamoyo, ona sasa unateseka
Hivi unajua raha ya upepo wa baharini weweJengeni kuanzia Kibamba hadi Kibaha, uta enjoy sana
Kwa majibu haya, atahamahama sana. Siku Kibaha kukiwa na foleni utamwambia ajenge na kuhamia Kigamboni. Nako kukiwa na foleni, utamwambia ajenge na kuhamia kwingine.Uliambiwa uje ujenge Kibaha ukang'ang'ania Bagamoyo, ona sasa unateseka
duuuh, pole mkuu! pamoja na uzuri wa Dar, ila mambo kama hayo ndio hunifanya nisipapende. Kwa kweli huwa sipapendiWakuu, Tangu saa 12 asubuhi mpaka sasa nimeganda hapa Masana, Gari hazitembei kabisa, Naskia wameziba barabara moja pale nia ya kuingia kawe, Kaz tunayo kwakweli
Tatizo lipo kwenye mipango miji. Na ndiyo maana foleni ni direction ya mjini asubuhi, na jioni foleni kwenye the same barabara but opposite direction. Yaani wamejaza maofisi na huduma muhimu uelekeo mmojaHata angejenga huko Kibaha, wakati huduma ziko Posta ingesaidia nini?
Kibaha Magufuli alijenga njia 8Hata angejenga huko Kibaha, wakati huduma ziko Posta ingesaidia nini?
Kibaha haitatokea foleni, Magufuli alijenga njia 8Kwa majibu haya, atahamahama sana. Siku Kibaha kukiwa na foleni utamwambia ajenge na kuhamia Kigamboni. Nako kukiwa na foleni, utamwambia ajenge na kuhamia kwingine.
Ushamba tuHivi unajua raha ya upepo wa baharini wewe
Hata huko kwenye foleni sasa, kuna wakati kulikuwa hakuna foleniKibaha haitatokea foleni, Magufuli alijenga njia 8
Hivi unajua raha ya upepo wa baharini wewe
Vikioza mnauziwa nyie wa huko,both team to scoreHujui kabisa maana ya mazingira, kwa taarifa yako, mikoa yenye joto hasa ukanda wa pwani wote, pembezoni mwa bahari hadi kilometer 6-9 kwenda nchi kavu hv, hali ya hewa ni chumvi chumvi, yaani mali zako kuanzia nyumba, gari, chochote kile cha chuma, ndani ya miaka 10 zinaoza kabisa, go and do research again..!! Sasa furahia upepo wa bahari in return vitu vyako vyote vya chuma gari, msingi wa nyumba au bati in 10 yrs uje uongee hapa, kaangalie nyumba nyingi Dar Masaki, Mbweni, Bahari beach, Coco beach au Zanzibar uone, every 10 yrs usipofanya matengenezo makubwa nyumba au gari sio kabisa
Vikioza mnauziwa nyie wa huko,both team to score
ni kuvumilia tu mkuu, ndo maendeleo hayo yana gharama zake, ni kwa sababu ya matengenezo ya barabara ya mwendo kasi!!Wakuu, Tangu saa 12 asubuhi mpaka sasa nimeganda hapa Masana, Gari hazitembei kabisa, Naskia wameziba barabara moja pale nia ya kuingia Kawe, Kazi tunayo kwa kweli