barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kuna mechi Aguerro hajacheza, **** mechi DeBruyne hajacheza na kapteni wao tegemeo ni majeruhi, Manu nani majeruhi ambaye nibtegemezi??Man u still tuko vzur na tumerud Kwnye form isipokuwa majeruhi tu city ajapata majeruh
Ndo hao hao.wamekaa kitako kuijadili MAN U hawajaa fikia hata robo ya mafanikio tulionayo MAN U.[emoji144] [emoji144] [emoji35] .Ni hao mashabiki wa arsenal wanaopayuka humu records tu za kushinda mechi 15 c kitu tusubiri mwisho wa ligi lakini lazima tuukubali ukweli kwamba Man U ni brand kubwa duniani
Aliyeleta huu uzi kama si fans wa arsenal basi ni livapuli maana ndo mna hasira sana na man u kisa wanawafunga sana
Ila makelele sio tatzo kwn fans wa Chelsea mbona wanazo nyng Liverpool na arsenal amuwez kuwa na kelele kwsababu vikombe ambebi kama amuchukui mnapiga kelele na nan mshindwe kw rombaya zenu pepo toka pepo toka kw mashabik wa arsenal na Liverpool
Nakuthibitishia 4g inarudi, na Likuku linarudi kuwa Lukaku,Hivi mnakumbuka wakati ligi inaanza?
Man untd walianza kwa kila aina ya mbwembwe na kujipa majina kama wazee wa 4g na mengineo..
Enzi hizo striker wao Lukaku anafunga balaa, wakaanza kuwatukana kina Morata na wengineo waliowakosa kwenye usajili
Mwisho wa siku wakaanza kula kipondo, watu wanajipigia tuu, mara ghafla lukaku wao akageuka LIKUKU..
Najaribu kuwaza hapa hivi hawa Man untd wangecheza mechi 15 mfulululizo bila kufungwa hata mechi 1 kama Man city hata hii J.F si tungeiona ya moto, tungeweka wapi nyuso zetu kwa mbwembwe zao zile...?
Man U kwa "Agricultural Coach" waliye naye huyu, hamna kitu!Hivi mnakumbuka wakati ligi inaanza?
Man untd walianza kwa kila aina ya mbwembwe na kujipa majina kama wazee wa 4g na mengineo..
Enzi hizo striker wao Lukaku anafunga balaa, wakaanza kuwatukana kina Morata na wengineo waliowakosa kwenye usajili
Mwisho wa siku wakaanza kula kipondo, watu wanajipigia tuu, mara ghafla lukaku wao akageuka LIKUKU..
Najaribu kuwaza hapa hivi hawa Man untd wangecheza mechi 15 mfulululizo bila kufungwa hata mechi 1 kama Man city hata hii J.F si tungeiona ya moto, tungeweka wapi nyuso zetu kwa mbwembwe zao zile...?
Man U kwa "Agricultural Coach" waliye naye huyu, hamna kitu!
majuzi alipocheza vs Guardiola (Man City), ilikuwa ni kama boyz vs men. au Kariakoo vs Koromije.
mkulima ana the most expensive player EPL yote lakini wapi.View attachment 651850
Kweli hamna kitu
Mpira ungekuwa unajajiwa hivyo bas arsenal fala ozil,lacazatte,sanchez ntajie mchezaj wa burnley mwenye thamani karib ya hao kama sio kuinunua timu yote ya burneley? Unaijua thaman ya walker,de bryune,silva,otamend,mangala na mendy plus sterling pale pesa wewe na mshahara wa gualdiola unaujua?mkulima ana the most expensive player EPL yote lakini wapi.
mkulima analipwa hela ndefu kuliko makocah wengine wote EPL lakini wapi.
Hivi mnakumbuka wakati ligi inaanza?