Hii form ya Manchester City wangekuwa nayo Manchester United tungekoma!

yote kwa yote.....mkulima wenu vs purist Guardiola bado sana!!
 
Mwaka jana alikuwa wapi alipotoka hata kikombe cha chai hamna wakat mkulima mou akibeba tuwili + ngao ya jamii?
Angechukua nacho ubingwa kile kikosi mngesema ana bahati
 
vile hata Wigan anabeba. hahahaa!

maajabu kwenye mpira yapo unashangaa wigan hata ugirik alibeba kombe la mabingwa kwa nchi za ulaya jiulize germam,italy,spain,france,portugal na england walikuwa wap? mkiambiwa mpira hamjui mnakasirika.
 
Kwaiyo kikosi cha man u ni kipana kuliko cha city?

Subiri draw kesho na westbrom alfu uje kuimba taarabu hapa
 
MANU HUWA HATUNYAMAZI SABABU NI WAKUBWA TU HATA TUKIFUNGWA,TIMU YA MABABU MABIBI WANAUME WANAWAKE WATOTO NA VISICHANA PIA.WE ARE GIANTS,NA NDIO MAANA HATA WEWE UNATUJUA NA UNATUTOLEA MFANO,PAMOJA NA KUFUNGWA MAN YOU NI TIMU KUBWA NA NZITO SANA.
 
Ni kama yule Baunsa aliyebakwa kwa tabu mno!!
 
Mungu siyo flani. Haki ya Mungu hawa jarani zangu wana mbwembwe kinoma. Watu hata wakila kisago, utasikia kelele zao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…