IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 545
Remember
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's vintage, do the needful and contact car/vehicle restorers wanaikarabati inakuwa mang'anyu kabisa.
Vintage haziuzwi hivyo swala la kuwa alitumia spika ni jambo lingineIla bei yake sio kubwa nimeiona moja ya 58 inauzwa £8500 tu
Vintage haziuzwi hivyo swala la kuwa alitumia spika ni jambo lingine
Hii ni Austin Cambridge ya 1958 alikuwa anaitumia babu sahv iko jikoni jamaa zangu wa oldskul rides wanairudisha taratibu
Ova
View attachment 2074450
Well since ni gari ya mtu aliyekuwa maarufu wakiirestore bei inakuwa tofauti lakini pia wanaweza kuirestore na ikakaa hapo kwenye makumbusho ya familia wakawa wanaotumia kibiashara kupandishwa wageni wanalipia kiasi.Ila bei yake sio kubwa nimeiona moja ya 58 inauzwa £8500 tu
Body chuma tupuAisee safi sana
Miaka hiyo napita pita kununua mazao nimekutana nazo nyingi tu zimechoka mbaya za muingereza, mfaransa na mtaliani
Napenda sana hizo ila kuzirudisha kwenye hali yake, parts ndio kazi
Ila hongera sana
Body chuma tupu
Yah kna watu nawajua hizi ni shuguli zao
Wanairudisha inakuwawa kama mpya
Niliwahi irudishaga corola dx ya 1980 gari ili rudi kwenye pitapita kuna mzee mmja wa kichaga alipenda sana yaani alililia akanishika nyota nkamuziaaga yaani mpaka leo inadunda
Ova
Well since ni gari ya mtu aliyekuwa maarufu wakiirestore bei inakuwa tofauti lakini pia wanaweza kuirestore na ikakaa hapo kwenye makumbusho ya familia wakawa wanaotumia kibiashara kupandishwa wageni wanalipia kiasi.
Pia wakiamua kuiuza bei yake ni tofauti sababu hiyo gari Ina intrinsic value.
Hobby tu mkuuSasa kama hizo spare parts zake unaagiza nje ama
Kama unairudisha kwenye hali yake lazima utaiuza kwa bei nzuri tu
Natamani kufanya hiyo kama hobby tu