Hii gari inaitwa Ford consul model ya mwaka 1954 ni gari ambayo ilimilikiwa na Adam sapi mkwawa alikuwa spika wa bunge la Tanzania

Hii gari inaitwa Ford consul model ya mwaka 1954 ni gari ambayo ilimilikiwa na Adam sapi mkwawa alikuwa spika wa bunge la Tanzania

IKUNGURU IJIRU CHUKU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2021
Posts
484
Reaction score
545
270062781_2745162232460073_1849734440942477916_n(1).jpg
270346565_2745164739126489_1119320414438844577_n.jpg

Remember
 
Sasa itakuwaje, hebu wasiliana na hao watengeneza wanaweza kukupa gari ingine kwa heshima ya utunzaji.

Unless otherwise mpeleke kwenye makumbusho ya taifa
 
Vintage haziuzwi hivyo swala la kuwa alitumia spika ni jambo lingine

Nazijua sana vintage na last September nilienda kuangalia huwa wanakutana wenye magari ya kizamani
Kweli lilikuwa la Spika ila kwa waswahili hatuna utamaduni wa kuthamini vitu vya watu mashuhuri kama wenzetu ambapo hata kiatu cha muimbaji kina thamani

Hiyo bei nimeiona jamaa anaiuza [emoji636] kama 25m Sh (£8500)
Ni hobby tu ila kwa bei zipo za ghali sana inategemea aina ya gari
Imagine kama ingekuwa ya James Bond hiyo ingekuwa kiasi gani?
 
Hii ni Austin Cambridge ya 1958 alikuwa anaitumia babu sahv iko jikoni jamaa zangu wa oldskul rides wanairudisha taratibu

Ova

View attachment 2074450

Aisee safi sana
Miaka hiyo napita pita kununua mazao nimekutana nazo nyingi tu zimechoka mbaya za muingereza, mfaransa na mtaliani
Napenda sana hizo ila kuzirudisha kwenye hali yake, parts ndio kazi

Ila hongera sana
 
Ila bei yake sio kubwa nimeiona moja ya 58 inauzwa £8500 tu
Well since ni gari ya mtu aliyekuwa maarufu wakiirestore bei inakuwa tofauti lakini pia wanaweza kuirestore na ikakaa hapo kwenye makumbusho ya familia wakawa wanaotumia kibiashara kupandishwa wageni wanalipia kiasi.

Pia wakiamua kuiuza bei yake ni tofauti sababu hiyo gari Ina intrinsic value.
 
Aisee safi sana
Miaka hiyo napita pita kununua mazao nimekutana nazo nyingi tu zimechoka mbaya za muingereza, mfaransa na mtaliani
Napenda sana hizo ila kuzirudisha kwenye hali yake, parts ndio kazi

Ila hongera sana
Body chuma tupu

Yah kna watu nawajua hizi ni shuguli zao

Wanairudisha inakuwawa kama mpya

Niliwahi irudishaga corola dx ya 1980 gari ili rudi kwenye pitapita kuna mzee mmja wa kichaga alipenda sana yaani alililia akanishika nyota nkamuziaaga yaani mpaka leo inadunda

Sasa kama hizo spare parts zake unaagiza nje ama
Kama unairudisha kwenye hali yake lazima utaiuza kwa bei nzuri tu
Natamani kufanya hiyo kama hobby tu
 
Well since ni gari ya mtu aliyekuwa maarufu wakiirestore bei inakuwa tofauti lakini pia wanaweza kuirestore na ikakaa hapo kwenye makumbusho ya familia wakawa wanaotumia kibiashara kupandishwa wageni wanalipia kiasi.

Pia wakiamua kuiuza bei yake ni tofauti sababu hiyo gari Ina intrinsic value.

Kweli mkuu
Ni kumbukumbu nzuri sana
 
Back
Top Bottom