Hii Gari kaka zangu na rafiki zangu mnasemaje?

Hii Gari kaka zangu na rafiki zangu mnasemaje?

Yawezekana ana utalaam kubana jet aseh!, kuna wenzetu mainjinia!!🙂
Hahah hapo hata ubane vipi mkuu hizo CC sio za wale jamaa wanaouliza hivi hii gari kwa lita 1 inaweza kwenda km 18 kama IST hahah.
 
Back
Top Bottom