Inspection certificate hawana huo mpango SBt wenyewe wanasema magari yao mara tu wanaponunua kutoka kwa vendors huyafanyia inspection usafi na matengenezo moja kwa moja. Ila wamenipa jina la Vessel ship wanayotarajia kubook.Huduma za mwanzoni kama approval ya kupokea hela,inspection certificate umepata?. Kama tayari waulize meli gani wanategemea kutumia. Hii itakupa mwanga zaidi na kukuondolea panick. Kwa kifupi taratibu ya makampuni yako sawa. Upande wa booking inategemea vessel availability mara nyingi ni wiki 2 baada ya inspection
Kumbee.Corona effect hio.
Ok. Nafikiri sasa hivi inspection inafanyika baada ya kufika. Approval of payment ndo muhimuInspection certificate hawana huo mpango SBt wenyewe wanasema magari yao mara tu wanaponunua kutoka kwa vendors huyafanyia inspection usafi na matengenezo moja kwa moja. Ila wamenipa jina la Vessel ship wanayotarajia kubook.
Hata mie nilishindwa aisee. Nilienda showroom nikachagua mzigo mpaka leo upo.Mimi sijui nikoje ila kiukwl nkiwaga na hela huwa sipendi kuzungushwa huwa nazama zangu yard navuta chombo chap!! Hayo mambo ya kusubiri siwezagi kwakwl
Be forward wenyewe wanatoa hii notice kabisa.Kumbee.
Ndio uende Sasa kununua kwa Sosi magari mkuu.Yaani nitoe hela, hafu nisubirie gari miezi miwili.
Aah we mbona nitalala na kuamkia ofisini kwao!! Wasinitanie kabisa.Kweli tuanze na baiskeli ila nikiagiza then wakichukua mda mrefu hivo mmh nahisi ntawafata huko huko kuchukua[emoji23][emoji23] sipendi masikhara na my hard earned money [emoji23]
Kipindi hiki gari nyingi Bei zime shoot sana sijui shida ni nini.Nje ya mada kidogo... Wakuu mbona uko Beforward Altezza bei zimenyooka hafla? Yaani zinakimbizana na Mark X za 2010+ saiv!!
Kuna nchi jirani juzi nimemsikia mwenyekiti wa wafanyabiashara akishauri wenzake wajaribu kuangalia mzigo hata huko India,TurkeyMkuu bora wewe umepewa hata tarehe. Mimi nimelipia tarehe 28 mwezi wa 7 na mpaka leo hata booking haijafanyiwa. Yani nmeulizia hiyo kampuni mpaka nimeamua kukausha tu...
Usiwe na shaka mkuu wamekupa hiyo kutokana na meli,inawezekana wakati unalipia tarehe ya meli nyingine ilikuwa mbali kama hivyo. Nina uzoefu kidogo na sbt kwa scenario ya gari kuwahi na kuchelewa. Hata yule agent ungemuuliza vzr angekupa maelezo ya kwanini.Asante aisee mmenitia moyo
Kama hadi wamekupa jina la meli , uhakika upo.Inspection certificate hawana huo mpango SBt wenyewe wanasema magari yao mara tu wanaponunua kutoka kwa vendors huyafanyia inspection usafi na matengenezo moja kwa moja. Ila wamenipa jina la Vessel ship wanayotarajia kubook.
Me too, yani lipia sepa na chombo aisee!π π π mambo ya kukaa ma week au mwezi mzima unasubiria gari ni uwaki!Mimi sijui nikoje ila kiukwl nkiwaga na hela huwa sipendi kuzungushwa huwa nazama zangu yard navuta chombo chap!! Hayo mambo ya kusubiri siwezagi kwakwl
Okay. Wamenitajia meli ambayo wananaendelea kufanya booking. Nilishtuka tu huo muda. Kumbe covid-19 ni nomaKama hadi wamekupa jina la meli , uhakika upo
Unaweza ukatembelea vesselfinder.com kujua uhalisia wa safari za meli hiyo
Korona imethiri mfumo wa usafiri, ukisikia wafanyabiashara wanavyohangaika kutafuta empty containers huko china utawaonea huruma , wenye mitaji midogo wanaamua kwenda dubai tu
Hahahaa hii huwa inawakuta watu wengi. Mwisho wa siku wananunua used here here in tz hawataki hizi shubiri.Me too, yani lipia sepa na chombo aisee!π π π mambo ya kukaa ma week au mwezi mzima unasubiria gari ni uwaki!
Ahaa kumbe ni global issue. Nilitaka kujilaum kwanini sijarudi Befoward.Nadhani kuna shida ya usafiri work wide
Kuna materials tunachukua Turkey mpaka yafike Tz yanachukua muda tofauti na mwaka jana
Vinginevyo fika ofisini kwao ujiridhishe