- Thread starter
- #41
Sawa mkuu hapa kiroho changu kimepoa kwa maelezo nayopata hapa JfUsiwe na shaka mkuu wamekupa hiyo kutokana na meli,inawezekana wakati unalipia tarehe ya meli nyingine ilikuwa mbali kama hivyo. Nina uzoefu kidogo na sbt kwa scenario ya gari kuwahi na kuchelewa. Hata yule agent ungemuuliza vzr angekupa maelezo ya kwanini.