Hii gari niliyonunua sijapigwa hapa?

Hii gari niliyonunua sijapigwa hapa?

Usiwe na shaka mkuu wamekupa hiyo kutokana na meli,inawezekana wakati unalipia tarehe ya meli nyingine ilikuwa mbali kama hivyo. Nina uzoefu kidogo na sbt kwa scenario ya gari kuwahi na kuchelewa. Hata yule agent ungemuuliza vzr angekupa maelezo ya kwanini.
Sawa mkuu hapa kiroho changu kimepoa kwa maelezo nayopata hapa Jf
 
Kuna tatizo la meli, kwa sasa magari yanachukua muda kupakiwa melini hasa makubwa zaidi kupata nafasi ni changamoto. Kuna gari imeagizwa imepata nafasi melini baada ya miezi miwili toka ilipiwe, so jumla imechukua miezi mitatu kuagiza mpaka ifike Bongo.
Aisee kama huna uzoefu huo moyo unaweza kwenda mbio. Pesa yenyewe ya uchumi wa matozo hii.
 
Kuna nchi jirani juzi nimemsikia mwenyekiti wa wafanyabiashara akishauri wenzake wajaribu kuangalia mzigo hata huko India,Turkey
Shida ni swala la usafirisha ji tu au na uzalishaji wa products umedumaa kutokana na uviko 19?
 
Nje ya mada kidogo... Wakuu mbona uko Beforward Altezza bei zimenyooka hafla? Yaani zinakimbizana na Mark X za 2010+ saiv!!
hata ist haishikiki. yaani magari ya maskini yamekuwa kama ya kitajiri
 
Usijali itafika mimi sina uziefu wa kuagiza vitu vikubwa vya hivyo ila nimeagiza saa imefika baada ya mwezi na nusu😂😂
 
Mkuu bora wewe umepewa hata tarehe. Mimi nimelipia tarehe 28 mwezi wa 7 na mpaka leo hata booking haijafanyiwa. Yani nmeulizia hiyo kampuni mpaka nimeamua kukausha tu. Nasikia korona effect inafanya mizigo kuchelewa. Hata wafanyabiashara wengine naona nao wameathirika sana hawa wa nguo, electronics equips n.k ... Siku hizi watu wanaagizia vitu dubai kuliko China/Japani...

Tuvumilie mzee mimi sidhani hata hiyo ndinga nitaigusa maana naweza sepa kabla haijafika...
Aisee kumbe tuko wengi. Sasa huko china na dubai wao wanasafirish vipi?
 
Ok. Nafikiri sasa hivi inspection inafanyika baada ya kufika. Approval of payment ndo muhimu
Local inspection iko kisheria kwa sasa inafanywa na TBS mara baada ya gari kufika ni moja ya kigezo kabla haijasajiriwa Tz. Sijajua bei ni kiasi gani.
 
Mkuu bora wewe umepewa hata tarehe. Mimi nimelipia tarehe 28 mwezi wa 7 na mpaka leo hata booking haijafanyiwa. Yani nmeulizia hiyo kampuni mpaka nimeamua kukausha tu. Nasikia korona effect inafanya mizigo kuchelewa. Hata wafanyabiashara wengine naona nao wameathirika sana hawa wa nguo, electronics equips n.k ... Siku hizi watu wanaagizia vitu dubai kuliko China/Japani...

Tuvumilie mzee mimi sidhani hata hiyo ndinga nitaigusa maana naweza sepa kabla haijafika...
Ningekuwa wewe nishapaniki🤣
 
Usihofu mkuu saa nyingine vessels zinakua bussy sana, it may take 3 to 4 weeks to get one after successfully payment.
Ndo gari yako ya kwanza nini kuagiza, saa nyingine huchukua hadi miezi mitatu ndo kuipata gari yako
 
Aisee kumbe tuko wengi. Sasa huko china na dubai wao wanasafirish vipi?
Tupo kibao mzee...

Dubai Korona haijapiga sana wao biashara wanafanya kama kawa na hawana restrictions sana.

China na Japan lao moja.
Hapo gari ikipata meli utasikia ina route kibao mara imepitia Australia mara wapi mpaka ifike ushaichoka gari...
 
Hahahaa hii huwa inawakuta watu wengi. Mwisho wa siku wananunua used here here in tz hawataki hizi shubiri.
Eeh raha ya purchase iwe kwa kitu ambacho unakiona yani! Ununue bidhaa ambayo ipo tayari tayari kwa matumizi
 
Tupo kibao mzee...

Dubai Korona haijapiga sana wao biashara wanafanya kama kawa na hawana restrictions sana.

China na Japan lao moja.
Hapo gari ikipata meli utasikia ina route kibao mara imepitia Australia mara wapi mpaka ifike ushaichoka gari...
hahaha mpaka sasa sina hamu.
 
Back
Top Bottom