- Thread starter
- #21
Inspection certificate hawana huo mpango SBt wenyewe wanasema magari yao mara tu wanaponunua kutoka kwa vendors huyafanyia inspection usafi na matengenezo moja kwa moja. Ila wamenipa jina la Vessel ship wanayotarajia kubook.Huduma za mwanzoni kama approval ya kupokea hela,inspection certificate umepata?. Kama tayari waulize meli gani wanategemea kutumia. Hii itakupa mwanga zaidi na kukuondolea panick. Kwa kifupi taratibu ya makampuni yako sawa. Upande wa booking inategemea vessel availability mara nyingi ni wiki 2 baada ya inspection