Hii gari niliyonunua sijapigwa hapa?

Sawa mkuu hapa kiroho changu kimepoa kwa maelezo nayopata hapa Jf
 
Aisee kama huna uzoefu huo moyo unaweza kwenda mbio. Pesa yenyewe ya uchumi wa matozo hii.
 
Kuna nchi jirani juzi nimemsikia mwenyekiti wa wafanyabiashara akishauri wenzake wajaribu kuangalia mzigo hata huko India,Turkey
Shida ni swala la usafirisha ji tu au na uzalishaji wa products umedumaa kutokana na uviko 19?
 
Nje ya mada kidogo... Wakuu mbona uko Beforward Altezza bei zimenyooka hafla? Yaani zinakimbizana na Mark X za 2010+ saiv!!
hata ist haishikiki. yaani magari ya maskini yamekuwa kama ya kitajiri
 
Usijali itafika mimi sina uziefu wa kuagiza vitu vikubwa vya hivyo ila nimeagiza saa imefika baada ya mwezi na nusu😂😂
 
Aisee kumbe tuko wengi. Sasa huko china na dubai wao wanasafirish vipi?
 
Ok. Nafikiri sasa hivi inspection inafanyika baada ya kufika. Approval of payment ndo muhimu
Local inspection iko kisheria kwa sasa inafanywa na TBS mara baada ya gari kufika ni moja ya kigezo kabla haijasajiriwa Tz. Sijajua bei ni kiasi gani.
 
Ningekuwa wewe nishapaniki🤣
 
Usihofu mkuu saa nyingine vessels zinakua bussy sana, it may take 3 to 4 weeks to get one after successfully payment.
Ndo gari yako ya kwanza nini kuagiza, saa nyingine huchukua hadi miezi mitatu ndo kuipata gari yako
 
Aisee kumbe tuko wengi. Sasa huko china na dubai wao wanasafirish vipi?
Tupo kibao mzee...

Dubai Korona haijapiga sana wao biashara wanafanya kama kawa na hawana restrictions sana.

China na Japan lao moja.
Hapo gari ikipata meli utasikia ina route kibao mara imepitia Australia mara wapi mpaka ifike ushaichoka gari...
 
Hahahaa hii huwa inawakuta watu wengi. Mwisho wa siku wananunua used here here in tz hawataki hizi shubiri.
Eeh raha ya purchase iwe kwa kitu ambacho unakiona yani! Ununue bidhaa ambayo ipo tayari tayari kwa matumizi
 
Tupo kibao mzee...

Dubai Korona haijapiga sana wao biashara wanafanya kama kawa na hawana restrictions sana.

China na Japan lao moja.
Hapo gari ikipata meli utasikia ina route kibao mara imepitia Australia mara wapi mpaka ifike ushaichoka gari...
hahaha mpaka sasa sina hamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…