Ni gari yangu ya tatu. Katika gari za mwanzo nilichukua 2weeks tu gari inakuwa booked na kuanza safari. 6weeks arrival. Hii ya sasa naona itanikifia after 16wks kwa mwendo huu. Ngoja nivumilie nioneUsihofu mkuu saa nyingine vessels zinakua bussy sana, it may take 3 to 4 weeks to get one after successfully payment.
Ndo gari yako ya kwanza nini kuagiza, saa nyingine huchukua hadi miezi mitatu ndo kuipata gari yako
Niliagiza SBT before Corona na ilifika within time located. Kpnd hk cha Corona delay may or may not happen. SBT ni waaminifu, Sema wanakuchelewesha, but naamini utaipata. Pole ndugu, vumilia.Sina haja ya kueleza mengi. Mtakumbuka mwanzoni mwa mwezi huu nilikuja hapa kueleza kuwa nina nia ya kununua gari kutoka kampuni ya wauzaji SBT japani. Ni mara ya kwanza kuagiza ktk kampuno hii. Nimezoea Beforward.
Baada ya kufanya process zote za malipo na gari yangu kuaninishwa kama tayari imeshauzwa sasa nikabaki kusubir kile wanaita CAP yani Car at progress. Huu ni mfululizo wa taarifa na habari mteja hujuliwa ni lini gari inafanyiwa booking ya safari, lini itaondoka japani kuja mahali mteja alipo, meli itakayo beba na makadirio ya muda gari itawasili kwa mteja.
Baada ya kukaa siku 10 huki nikiona kimya nikawafata Sales personel huko huko. Nilichojibiwa nimeshangaa.Eti Booking inafanyika ila inakadiriwa kuanza kusafirishwa tar 29 mwezi wa tisa. Hii imenishtua. Au nililipa pesa kwa wajanja?
Kwa Beforward mamvo hayakuwa hivi. Ilichukua wiki sita tu gari zangu mbili zikanifikia. Hii ya sasa sbt wiki sita zinakatika bado haijaanza safari
Asante kwa kunipa moyo ndugu.Niliagiza SBT before Corona na ilifika within time located. Kpnd hk cha Corona delay may or may not happen. SBT ni waaminifu, Sema wanakuchelewesha, but naamini utaipata. Pole ndugu, vumilia.
Watakupa tu.wakizingua toa Uzi nitakwambia cha kuwafanya wasikusahaunimeona kama ni mbali
Nawasikilizia. Nikiona mizinguo ntakutafuta MkuuWatakupa tu.wakizingua toa Uzi nitakwambia cha kuwafanya wasikusahau
Tutajuaje iko gizani Mkuuhii ni gari gani?View attachment 1911732
Asante GeneralMakampuni yote hayo hutumia meli moja, magari ya sbt, beforward na mengine hayana meli zao...
Inategemea gari yako ipo japan sehem gani...
Kuna bandari ambazo hazipati meli za magari kila mara...
Vuta subira kijana
hii ni gari gani?View attachment 1911732
Kuna baadhi ya vitu huwezi kuvikuta yard hata siku moja.
hii ni gari gani?View attachment 1911732
Ww jamaa ni mzuri sana..Mimi sijui nikoje ila kiukwl nkiwaga na hela huwa sipendi kuzungushwa huwa nazama zangu yard navuta chombo chap!! Hayo mambo ya kusubiri siwezagi kwakwl
We mwenyewe unaliona vizuri hapo ndugu au basi tu unataka kugombana na watu wakikujibu oil chafu hapa?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ni gari gani?View attachment 1911732
Wanajidunduliza na kujichanga kama kununua kitu kingine chochote.hivi nyie mnaoagiza magari mnapatia wapi pesa!?...au mimi kuna kitu sijakigundua bado..
dah mimi mkuu wangu hata sijui naishije lakini sijafa kwa njaa na habari za kipato sina taarifa rasmi..Wanajidunduliza na kujichanga kama kununua kitu kingine chochote.
Wewe una kipato gani kwa mfano nikuulize?!
Kama hauna kipato achana na magari utakuja ona kumiliki magari ni anasa.