Hii gari niliyonunua sijapigwa hapa?

Hii gari niliyonunua sijapigwa hapa?

Usihofu mkuu saa nyingine vessels zinakua bussy sana, it may take 3 to 4 weeks to get one after successfully payment.
Ndo gari yako ya kwanza nini kuagiza, saa nyingine huchukua hadi miezi mitatu ndo kuipata gari yako
Ni gari yangu ya tatu. Katika gari za mwanzo nilichukua 2weeks tu gari inakuwa booked na kuanza safari. 6weeks arrival. Hii ya sasa naona itanikifia after 16wks kwa mwendo huu. Ngoja nivumilie nione
 
Makampuni yote hayo hutumia meli moja, magari ya sbt, beforward na mengine hayana meli zao...

Inategemea gari yako ipo japan sehem gani...

Kuna bandari ambazo hazipati meli za magari kila mara...

Vuta subira kijana
 
Mkuu sahv usafir shida sana kutoka japan kutokana na janga la corona ukiona wameweka hio tarehe mbali jua wanataka kuunganisha gari nyingi kwa pamoja ila mpaka wa9 wamezingua sana.

Nimeagza gari na autocom nimefanya payment last friday- 03/09 gari inatoka japan mpaka nmeshangaaa kama bht[emoji23][emoji119][emoji119]
 
Sina haja ya kueleza mengi. Mtakumbuka mwanzoni mwa mwezi huu nilikuja hapa kueleza kuwa nina nia ya kununua gari kutoka kampuni ya wauzaji SBT japani. Ni mara ya kwanza kuagiza ktk kampuno hii. Nimezoea Beforward.

Baada ya kufanya process zote za malipo na gari yangu kuaninishwa kama tayari imeshauzwa sasa nikabaki kusubir kile wanaita CAP yani Car at progress. Huu ni mfululizo wa taarifa na habari mteja hujuliwa ni lini gari inafanyiwa booking ya safari, lini itaondoka japani kuja mahali mteja alipo, meli itakayo beba na makadirio ya muda gari itawasili kwa mteja.

Baada ya kukaa siku 10 huki nikiona kimya nikawafata Sales personel huko huko. Nilichojibiwa nimeshangaa.Eti Booking inafanyika ila inakadiriwa kuanza kusafirishwa tar 29 mwezi wa tisa. Hii imenishtua. Au nililipa pesa kwa wajanja?

Kwa Beforward mamvo hayakuwa hivi. Ilichukua wiki sita tu gari zangu mbili zikanifikia. Hii ya sasa sbt wiki sita zinakatika bado haijaanza safari
Niliagiza SBT before Corona na ilifika within time located. Kpnd hk cha Corona delay may or may not happen. SBT ni waaminifu, Sema wanakuchelewesha, but naamini utaipata. Pole ndugu, vumilia.
 
Niliagiza SBT before Corona na ilifika within time located. Kpnd hk cha Corona delay may or may not happen. SBT ni waaminifu, Sema wanakuchelewesha, but naamini utaipata. Pole ndugu, vumilia.
Asante kwa kunipa moyo ndugu.
 
hii ni gari gani?
IMG20210825042736.jpg
 
Makampuni yote hayo hutumia meli moja, magari ya sbt, beforward na mengine hayana meli zao...

Inategemea gari yako ipo japan sehem gani...

Kuna bandari ambazo hazipati meli za magari kila mara...

Vuta subira kijana
Asante General
 
Changamoto ya usafiri wa meli. Ila Kama una uwezo ipandishe Cargo plane kesho kutwa ukaipokee Chato Super international airport
 
Kwa kifupi SBT wameshawapiga bao Beforward jamaa wanauza magari mengi sana kitu kinachofanya kunakua na changamoto ya booking kwenye meli...
 
Wanajidunduliza na kujichanga kama kununua kitu kingine chochote.

Wewe una kipato gani kwa mfano nikuulize?!

Kama hauna kipato achana na magari utakuja ona kumiliki magari ni anasa.
dah mimi mkuu wangu hata sijui naishije lakini sijafa kwa njaa na habari za kipato sina taarifa rasmi..
 
Back
Top Bottom