RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Chuma kimefika muda muafaka,mwisho wa mwaka kipige trip!Mzee vyuma hivi safari zake haziwagi 100% certain. Leo ndio RoRo inashusha bandarini Dar. Natarajia kuipokea J3 au J4.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuma kimefika muda muafaka,mwisho wa mwaka kipige trip!Mzee vyuma hivi safari zake haziwagi 100% certain. Leo ndio RoRo inashusha bandarini Dar. Natarajia kuipokea J3 au J4.
Mwisho wa mwaka sio mzuri kusafiri. Ajali nyingi sana.Chuma kimefika muda muafaka,mwisho wa mwaka kipige trip!
Ww jamaa ni mzuri sana..
Ila ungejua sayansi inauofanyika yard ungeshukuru sana
Hizo Altezza zimeshakula mods kama sijakosea mkuuNje ya mada kidogo... Wakuu mbona uko Beforward Altezza bei zimenyooka hafla? Yaani zinakimbizana na Mark X za 2010+ saiv!!
hazina mods, nimetizama nlifikiri labda zipo turbocharged lakini zipo kawaida tu. Naona gari zimepanda tu itakuwaHizo Altezza zimeshakula mods kama sijakosea mkuu
[emoji3516]Bila shaka chuma imefika bandarini leo[emoji23][emoji23]
Ikitoka, twende tukaipime mapafu bagamoyo[emoji119]
Kuikanyaga kweli kweli waone performance yake[emoji1787][emoji1787][emoji3516]
MKUU,
MSAADA:
"KUIPA MAPAFU" ND'O NINI?
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Yataka moyo kuvumilia mkuu, mdio maana wengine wanaamua kuzama yard za kibongo.Mkuu,
Nakuhakikishia hujapigwa. Binafsi ilinitokea Be Forward nilinunua gari tarehe 19 May 2021 nimepokea gari August 21, 2021.
Tatizo corona imeleta shida biashara na usafiri wa meli. Nilipata gari bora kabisa.
Uwe mvumilivu hizo ni kampuni kubwa huwezi kudanganywa.
Mimi nilipigwa.Mkuu bora wewe umepewa hata tarehe. Mimi nimelipia tarehe 28 mwezi wa 7 na mpaka leo hata booking haijafanyiwa. Yani nmeulizia hiyo kampuni mpaka nimeamua kukausha tu.
Nasikia korona effect inafanya mizigo kuchelewa. Hata wafanyabiashara wengine naona nao wameathirika sana hawa wa nguo, electronics equips n.k ... Siku hizi watu wanaagizia vitu dubai kuliko China/Japani...
Tuvumilie mzee mimi sidhani hata hiyo ndinga nitaigusa maana naweza sepa kabla haijafika...
COVID-19 imefanya booking ya vehicle kuwa ngumu SanaHuduma za mwanzoni kama approval ya kupokea hela,inspection certificate umepata?. Kama tayari waulize meli gani wanategemea kutumia. Hii itakupa mwanga zaidi na kukuondolea panick. Kwa kifupi taratibu ya makampuni yako sawa. Upande wa booking inategemea vessel availability mara nyingi ni wiki 2 baada ya inspection