Hii gari toleo la juzi tu lakini namba ni A

Hii gari toleo la juzi tu lakini namba ni A

Naona watu washazusha mambo ata hayapo

Ukiwa na gari lako kongwe ulilolisajili namba A hlf ukanunua jipya hili kongwe likiwa ni scraper unaweza kuomba kuhamishiwa namba za A kwenye gari yako mpya bila ya shida yoyote ile
 
Back
Top Bottom