Hii gari toleo la juzi tu lakini namba ni A

Wasiojulikana hao, yapo mpaka mashangingi haya mapya ya T ...AAF
Land cruise uwe na bodi tu.

Mengine wachina wanaedit, hata bakhressa nadhani ana biashara hiyo ya kuedit matoleo mbali mbali.
 
Naona watu washazusha mambo ata hayapo

Ukiwa na gari lako kongwe ulilolisajili namba A hlf ukanunua jipya hili kongwe likiwa ni scraper unaweza kuomba kuhamishiwa namba za A kwenye gari yako mpya bila ya shida yoyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…