Hii gharama ya maisha kupanda ni afadhali mtunyonge tu

Hii gharama ya maisha kupanda ni afadhali mtunyonge tu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Heeeeeeeh Kila nafaka imepanda bei, sukari imepanda bei. Mnataka mtuue pole pole? Sia afadhali mtunyonge. Ndiyo. Afadhali mtunyonge tujue moja.

 
Mi kufa hapana nitaenda nayo ivoivo kibishi mkuu
 
Back
Top Bottom