Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,575
View attachment 3571770
Habari Wakuu,
Taarifa inataarifu mlembwende huyo ambaye ni influensa kutoka USA amefia kwenye moja ya Resort ya hali ya juu hapa TZ. Hii habari ni ya zamani mimi ilinipita au ni manga'nyu? Sijaipata kwenye nyuzi kabisa. Kuna mwenye taarifa? Inaonekana mpenzi wake anahusishwa. Mapenzi bana!
Reporter wenyewe akina milord ayoo aha ha haha usitegemee chochote cha maanaView attachment 3572091
Hii ni habari kubwa Marekani kwa sasa lakini naona huku kwetu kimya kabisa,kuna mahali jeshi letu kitengo cha mawasiliano na mahusiano ya umma hakipo vizuri
Tumekuwa na katabia ka kuficha vifo. Huenda jeshi la polisi limekataa kutoa taarifa na wamepiga mkwara wahariri kutoreport hii habari.View attachment 3572091
Hii ni habari kubwa Marekani kwa sasa lakini naona huku kwetu kimya kabisa,kuna mahali jeshi letu kitengo cha mawasiliano na mahusiano ya umma hakipo vizuri
Repoti inasema alijinyonga, kitu ambacho kinatia shaka sana kwa marafiki na familia yake, hawaamini kama kajinyonga. Polisi bongo wanadai kafia hospitali! Habari haieleweki. Kama vile mlungula umetembea Polisi. USA wakiamua kuupata ukweli itakua aibu, maana wapelelezi wao sio mchezo. Tusubiri tuone itaishia wapi?Iweje huyo dada afariki wakati alikuwa na mpenzi wake hotelini, huyo mpenzi wake yuko wapi kwa sasa?
Naamini huyo ndie mwenye majibu, kama kingekuwa kifo cha bahati mbaya angetoa taarifa polisi.
Lakini kwasababu inawezekana yeye ndie mhusika, basi ndio maana amekimbia, atafutwe atoe majibu.
Waje tu CIA wafanye uchunguzi.Si unajua tunapenda kuficha ukweli.
Habari yake nimeiona BBC, Inaonekana ugomvi ulizuka baina ya hao wawili kiasi cha uongozi wa Hotel kuamua kuwatenganisha vyumba, kila mmoja akawa analala chumba chake na funguo zake, kwahio amekufa akiwa halali chumba kimoja na Jamaa yake.
Polisi wanasema wanaendelea na uchunguzi ila kama mjuavyo polisi wetu hawaaminiki,hapo waje wachunguze vijana wa Trump tu.
KabisaWaje tu CIA wafanye uchunguzi.