Hii haibu kubwa mama m2 mzima kufanya hivi.

Hii haibu kubwa mama m2 mzima kufanya hivi.

Joined
Mar 16, 2013
Posts
31
Reaction score
4
Jaman hapa nilipo nipo moro town.mama m2 mzima kakutwa uchi wa mnyama ana wanga istoshe wa hapa mtaan.Watoto zake wakubwa wapo ndan ya umati wao wanalia
 
kwa nini usiwashauri hao watu wakaendelea na shughuli zao wakaachana na mama wa watu........?
 
mchawi kweli?!!!!!!!
au mama wa watu
hazimtoshi kumkichwa?
 
Japo kimombo sifaham ila dhic ishu iz truu mjimama mchawi kaingia kusiko ingilika.(ANA MIKALIO HIYOO! Adi raaa
 
mi naanza
kuandika mchalazo!
we baki na huo
wa siku zote Preta!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom