Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Mada zake zote hua anafanya hivyo dearest.Mtu akipingana nae basi ataambiwa hajui kitu/hana hoja.Mamii haina tabu nina uhakika ameghafilika tu hakumaanisha hicho alichokiweka hapo.
Mydia ametoa mfano wa Michael Jackson!!! That is an extreme maana yeye alishaweka wazi kuwa alikuwa anachukia kuwa Mweusi sasa atafananishwa na mdada ambaye ametaka tu kutengeneza nywele ili kutia chachandu unadhifu na urembo wake!!
Neway kuhusu huo mfano mimi ndio maana hata sikutaka kuugusia. Inabidi tuache mpaka kutoboa masikio, kujipulizia marashi, kusuka hata twende kilioni ili tusionekane tunajikataa.