crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Nimepitia sana nikiwa form four,mambo mengi mno ....kiufupi ni nguvu za Giza.Anza wewe kuzikemea kabla hata hujakimbilia Kwa wachungaji.Omba sanaInanitokea mara kadhaa nikiwa nimelala hata mchana huwa ninahisi mwili kunesanesa kwa kasi, nashindwa kufumbua mdomo na macho na kuhema wakati huo,
ni wakati ambao huwa ninaomba sana kimoyomoyo kwani huwa ninaona ndio tumaini pekee lililobaki ni kama nahisi kufakufa hivi na sitamani kabisa kuguswa wakati huo.
ni dalili ya nini hii?
kuna ambao mnapitia hii?
ndio hivyoKugeuka huwezi, kufumbua macho huwezi, yaani una freeze totally hata mkono huwezi kunyanyua.
Usije joformat.Sleeping paralysis. Ni kama ubongo unajirestart hv
''Sleeping Paralysis''Inanitokea mara kadhaa nikiwa nimelala hata mchana huwa ninahisi mwili kunesanesa kwa kasi, nashindwa kufumbua mdomo na macho na kuhema wakati huo,
ni wakati ambao huwa ninaomba sana kimoyomoyo kwani huwa ninaona ndio tumaini pekee lililobaki ni kama nahisi kufakufa hivi na sitamani kabisa kuguswa wakati huo.
ni dalili ya nini hii?
kuna ambao mnapitia hii?
Nimepitia sana nikiwa form four,mambo mengi mno ....kiufupi ni nguvu za Giza.Anza wewe kuzikemea kabla hata hujakimbilia Kwa wachungaji.Omba sana