The choosen one1
Senior Member
- Dec 13, 2023
- 104
- 436
Umefuta ngapi kati ya 3000 contact.Hali ya mvua, plus ni weekend, utulivu wa kutosha.
Nyie huwa mnafanya nini nyakati kama hizi.
ππNgoja nipige kwa mara ya mwisho huenda hakuona zile missed call za awali.
We cheka, kikubwa mkeka wangu umetiki.ππ
We cheka, kikubwa mkeka wangu umetiki.
Na Alikuja.πππ kapokea
Unaaibisha ukoo mkuu π€£Ngoja nipige kwa mara ya mwisho huenda hakuona zile missed call za awali.
Ni wa huko Kinondoni sema nlifanikiwa mwanangu.Unaaibisha ukoo mkuu π€£
Uwiiiii watu wa Dar mapenzi yenu ya mvua tunawaogopa πNgoja nimtafute binti kiziwi π₯°ππππ€ͺ
Usiogope mrembo, yata flow kama zile nyimbo za slow jams...Uwiiiii watu wa Dar mapenzi yenu ya mvua tunawaogopa π