Huko si mnajifanya mnauza radi na mnapaa? Mwaka huu mtakoma.Mi nipo Kantalamba huku hakuna mvua
Hehe! 😜Usiogope mrembo, yata flow kama zile nyimbo za slow jams...
Yani manzi ya kino unaipigia zaidi ya mara 1 sheikh?Ni wa huko Kinondoni sema nlifanikiwa mwanangu.
Kuna principle zangu nyingi nimezivunja kwa sababu ya huyu manzi.Yani manzi ya kino unaipigia zaidi ya mara 1 sheikh?
Mimi pisi kali ni simu moja tu na maelekezo isiporespond nashukuru kwa kuniepushia matumizi ya hovyo.
Ana nyash au ndio umejipotezea muda kwenye mwamvuliKuna principle zangu nyingi nimezivunja kwa sababu ya huyu manzi.
Soon utaguswa 😃😄😁😁Hizi mvua hizi acha tuu chupuchupu nikutane na jini. Ngoja nijikite kuuza miamvuli na mabuti sasa.
Kuumbika kaumbika sema tunaishi kisela sana ni backup ya haraka sana kwenye emergency kama hizi za mvua inshort ni malaika wa joto.Ana nyash au ndio umejipotezea muda kwenye mwamvuli