Hii hali ya hewa ya Dar (mvua) imenifanya nipitie upya contacts zangu

Hakuna kitu nachofurahia nyakati hizo kama kujitoa out mwenyewe, agiza mbuzi choma portion 2 ndizi nne pilipili kachumbari ya kutosha na wine.

Hawa chuma ulete sina habari nao. Nasubiri kudaka mtoto wa kishua kama Abby Charms ndio tutaendana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…