Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
Nashindwa kuelewa ni Ungonjwa au Uchafu
Asubuh tu unakutana na mtu ananuka Jasho kama fisi la porini na amevaa smart kabisa ila ukipishana nae unaweza kuzimia
Unakutana na mtu smart kapendeza ila ananuka Mdomo na Jasho balaa
Hii kitu Maofisini imezidi watu wananuka midomo na Jasho uwa najiuliza wana shida gani iseee ukiongea na mimi huku unanuka mdomo au jasho dah unanitoa kwenye concentration kabisa cz harufu inaninyima raha kabisa
Ukija mtaani ndo hatari kabisa watu wananuka midomo na jasho dah hivi ni ugonjwa au uchafu
Ukipanda daladala au mwendokasi ndo utaelewa isee harufu zilizopo huko ni hatari sio kunuka mdomo, Jasho plus na nywele kunuka dah
[emoji1621]Tuzingatie Usafi wa mwili na mavazi haipendezi umepiga suit yako then unatoa harufu ya mdomo na Jasho hiyo inashusha heshima sana inafikia stage unakimbiwa na watu wa maana
Uwa najiuliza kama unatoa harufu ya hivo vitu huko down kutakuwa na hali gani Dah
Usafi Muhimu