Hii hali ya watu kunuka mdomo na jasho ni ugonjwa au ni uchafu

Hii hali ya watu kunuka mdomo na jasho ni ugonjwa au ni uchafu

Ukinywa pombe kali jasho lote linanuka pombe hadi yapite masaa 48.

Ukila chakula chenye viungo vingi jasho lote litanuka tu.

Ili jasho lisinuke uwe unashindia maji tu. Sijui kama utaweza.

Duh
 
Viumbe wote wananuka, mbuzi, kondoo, ng'ombe, wanyama wa porini na binadamu. Binadamu anaoga na kupiga mswaki kupunguza kunuka, kuna bakteria pia hunuka wanapokuwa mdomoni mwa mtu. Haya mapafyumu ni kupotezea tu harufu mbaya ya kunuka kwa mtu

Ok
 
Haujajibu swali la mtoa mada...."kwanini kuna watu wananuka"?...

Hapo kaongelea baadhi na si wote na huo ndiyo ukweli.

Harufu ya mtu mpaka itajwe ama iitwe "kunuka", ina maana imepita kiwango cha kawaida.

Majibu ya swali hili watokeze wataalamu wa tiba ya kinywa na meno, watatoa majibu yafaayo, maana kila jambo lazima liwe na sababu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naam bora umenisaidia
 
ukitaka kujua kama binadamu tunanuka hata tuwe wasafi kiasi gani, kaa karibu na mtu ambaye anatoka katika race tofauti na yako.

miaka fulani niliwahi ku-date demu wa kizungu. licha usafi wote aliokuwanao na manukato mazuri yote aliyokuwa anajipulizia, bado alikuwa na kiharufu fulani hivi cha kukera ambacho watu weupe karibia wote wanacho.

Hahaha kumbe
 
Nashindwa kuelewa ni Ungonjwa au Uchafu
Asubuh tu unakutana na mtu ananuka Jasho kama fisi la porini na amevaa smart kabisa ila ukipishana nae unaweza kuzimia
Unakutana na mtu smart kapendeza ila ananuka Mdomo na Jasho balaa
Hii kitu Maofisini imezidi watu wananuka midomo na Jasho uwa najiuliza wana shida gani iseee ukiongea na mimi huku unanuka mdomo au jasho dah unanitoa kwenye concentration kabisa cz harufu inaninyima raha kabisa
Ukija mtaani ndo hatari kabisa watu wananuka midomo na jasho dah hivi ni ugonjwa au uchafu
Ukipanda daladala au mwendokasi ndo utaelewa isee harufu zilizopo huko ni hatari sio kunuka mdomo, Jasho plus na nywele kunuka dah

[emoji1621]Tuzingatie Usafi wa mwili na mavazi haipendezi umepiga suit yako then unatoa harufu ya mdomo na Jasho hiyo inashusha heshima sana inafikia stage unakimbiwa na watu wa maana

Uwa najiuliza kama unatoa harufu ya hivo vitu huko down kutakuwa na hali gani Dah

Usafi Muhimu
Kuna dr. lecture flani alipat kusema ukitaka kujua wewe ni msafi kiasi gani weka vidole vyako makalioni then unuse.
 
Mimi nahic ni kukaa muda mrefu bila kulaa...hili la kunuka mwli nafikir wataalam watakuja kulitolea ufafanuzi..ila yote tisa kumi binadamu wote tunanuku sema tumetofautiana tu viwango
 
Nashindwa kuelewa ni Ungonjwa au Uchafu
Asubuh tu unakutana na mtu ananuka Jasho kama fisi la porini na amevaa smart kabisa ila ukipishana nae unaweza kuzimia
Unakutana na mtu smart kapendeza ila ananuka Mdomo na Jasho balaa
Hii kitu Maofisini imezidi watu wananuka midomo na Jasho uwa najiuliza wana shida gani iseee ukiongea na mimi huku unanuka mdomo au jasho dah unanitoa kwenye concentration kabisa cz harufu inaninyima raha kabisa
Ukija mtaani ndo hatari kabisa watu wananuka midomo na jasho dah hivi ni ugonjwa au uchafu
Ukipanda daladala au mwendokasi ndo utaelewa isee harufu zilizopo huko ni hatari sio kunuka mdomo, Jasho plus na nywele kunuka dah

[emoji1621]Tuzingatie Usafi wa mwili na mavazi haipendezi umepiga suit yako then unatoa harufu ya mdomo na Jasho hiyo inashusha heshima sana inafikia stage unakimbiwa na watu wa maana

Uwa najiuliza kama unatoa harufu ya hivo vitu huko down kutakuwa na hali gani Dah

Usafi Muhimu
Watu wanaoga sana na kupiga mswaki sana ila hizi ni sababu kuu kwa utafiti wangu.

1. Dawa za meno ndo chanzo cha kunuka midomo.

2. Chakula na vinywaji mtu alavyo ndo pia huchangia kunuka mwili.
Imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom