Hii hali ya watu kunuka mdomo na jasho ni ugonjwa au ni uchafu

Ukinywa pombe kali jasho lote linanuka pombe hadi yapite masaa 48.

Ukila chakula chenye viungo vingi jasho lote litanuka tu.

Ili jasho lisinuke uwe unashindia maji tu. Sijui kama utaweza.

Duh
 
Viumbe wote wananuka, mbuzi, kondoo, ng'ombe, wanyama wa porini na binadamu. Binadamu anaoga na kupiga mswaki kupunguza kunuka, kuna bakteria pia hunuka wanapokuwa mdomoni mwa mtu. Haya mapafyumu ni kupotezea tu harufu mbaya ya kunuka kwa mtu

Ok
 

Naam bora umenisaidia
 

Hahaha kumbe
 
Kuna dr. lecture flani alipat kusema ukitaka kujua wewe ni msafi kiasi gani weka vidole vyako makalioni then unuse.
 
Mimi nahic ni kukaa muda mrefu bila kulaa...hili la kunuka mwli nafikir wataalam watakuja kulitolea ufafanuzi..ila yote tisa kumi binadamu wote tunanuku sema tumetofautiana tu viwango
 
Watu wanaoga sana na kupiga mswaki sana ila hizi ni sababu kuu kwa utafiti wangu.

1. Dawa za meno ndo chanzo cha kunuka midomo.

2. Chakula na vinywaji mtu alavyo ndo pia huchangia kunuka mwili.
Imeisha hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…