Hii hali ya watu kunuka mdomo na jasho ni ugonjwa au ni uchafu

Ufafanuzi, "unalogwa unakuwa ni mtu wa kunuka tu" Kuna Binti alilogwa kila akiingia kwenye daladala watu wanashika pua. Amini usiamini, huo ndio ulimwengu wa roho, yakikupata utaamini. Kumbuka watu ni wengi ila binadamu ni wachache.

Acha iman za kizamani
 

Ukiwa na akili timamu ndo utaelewa
 
akili finyu ni kushangaa mwanaume kunuka.mwanaume na muda wa kunukia unautoa wapi!!au ndio nyinyi mnagombania vioo na mademu zenu!!

Wanafanya kaz gan had wakose mda wakujweka smart
 
Ninachojua ni kuwa suala la kumbuka mdomo ...utafiti unaonyesha kuwa Kama mtu atasafisha mdomo vizuri...ikiwa kusafisha ulimi..pamoja na kupiga mswaki walau marambili kwa siku...itasaidia suala la mwili ni uzembe na ubahili wa kijinga inabidi watu wanunue body spray...
 
Huko mbali sana.. angalia hata zeruzeru huwa wana kiharufu chao fulani hivi ...
 
Yes umeongea kile mimi nimekiona pia. Na hii imenifanya siwezi kabisa wazungu.
Karibu wote niliowahi kuwa na ukaribu nao wana kiharufu fulani kinakata mzuka kabisa. Kuna mmoja alikua mu Irish mkali kama muafrika shepu kali sura kali ila sasa ukiongea naye kwa ukaribu kuna harufu inatoka kinywani mwake daaah noma. Na karibu wote hivyohivyo
 
Kunuka ni nini? Je mtu hatakiwi kutoa harufu? Maana kuna harufu zingine kwako inaweza isiwe nzuri ila kwa mwingine ikawa nzuri tu, Au unamaanisha tujipulizie marashi? Ila pia sio kila marashi yatamvutia kila mtu, Bado kuna wengine watasema arufu ya marashi uliyojipulizia ni mbaya, Je, harufu mbaya ni ipi?
 
Sio kile kama cha mafua hivi, aisee nilifanya kazi kwa wachina, Kweli ile harufu hadi na leo siwezi kuizoea, inaboa sana.
 
ukijisaidia haja kubwa chooni, jisafishea kwa maji na sabuni huko chini, na wewe unawe na mikono na sabuni.... Wale ndugu zetu wa toilet paper huwa mnabaki na vichembechembe huko na jasho likishuka wakakutana kinakuwa wet then balaa....
 
Wadada wenye makucha kama majini, mnajisafishaje baada ya ule utaratibu wa kushusha mzigo toilet..... mjitafakari....
 
Jambo moja ulielewe ni kuwa,huwezi kuisikia harufu yako mwenyewe hadi pale itakapokuwa imezidi sana.
Vinginevyo nawe unaweza kuwa unanuka mdomo na miguu ukivua viatu ila hutaojua hadi uambiwe
 
Jambo moja ulielewe ni kuwa,huwezi kuisikia harufu yako mwenyewe hadi pale itakapokuwa imezidi sana.
Vinginevyo nawe unaweza kuwa unanuka mdomo na miguu ukivua viatu ila hutaojua hadi uambiwe

[emoji849][emoji849]
 
Ulichukua namba!? Konekshen mkuu [emoji120]

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…