Hii hali ya watu kunuka mdomo na jasho ni ugonjwa au ni uchafu

Watu wanaoga sana na kupiga mswaki sana ila hizi ni sababu kuu kwa utafiti wangu.

1. Dawa za meno ndo chanzo cha kunuka midomo.

2. Chakula na vinywaji mtu alavyo ndo pia huchangia kunuka mwili.
Imeisha hiyo.
Kupiga mswaki sio sabb swala unapigwa vipi! Kun mtu anapiga tako saba tu, isitoshe hagusi ulimi pamoja na kiutelez kinachoshikilia mabaki y chakula kilichokuwepo. Mdomo bhana unahitaj care mno! N mswaki kikawaida kuupiga Mara 2 mkuu

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unapiga tako 7 sijakuelewa, mi natumia mswaki wa mtu tena napiga mswaki mara chache sana, na scan kwa ulimi wangu haya meno nikiona kuna ukoko ndo nasafisha kwa mti...
Hizi plastic brush ambazo mnaona ni maendeleo zinataka dawa za meno ambazo mimi nimestaafu kuzitumia
 

Duuuh
 
Mdomo huwa unatoa harufu mbaya kwasababu ya ulimi mchafu. Kwahiyo mwenye tatizo hili anatakiwa asugue ulimi mpaka ujirudie rangi yake ya asili yaan pink na jitahidi unaposugua ulimi hemea kwa mdomo ili ufahamu kama bado ulimi wako ni mchafu au tumia kioo kutizama ulimi wako.

Kuhusu kunuka harufu kali hili unaweza kupunguza kwa kunywa maji mengi.

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 

[emoji1666]
 
Wewe ni muungwana mno.!
 
Ulimsaidia? Kuna madogo wanapitia wakati mgumu mno.!
 
siku za wikendi nilimuita kunisaidia vikazi vya part time kinachopatikana tunagawana kimtindo ili msaidia.
You are among very few people on the planet! Trust me you gonna get paid higher for what you did.! Huo ndio ubinadamu, huo ndio uanaume, huo ndio udugu wa kweli! [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Amin. Na iwe hivyo kwako pia Mkuu
 
Ulishawahi kufanya Kazi na wahindi?
Wahindi wote wana harufu ya kufanana harufu kali,
Nadhani pia chakula tunachokula pia kinachangia kuleta hizi odour

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…