Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,620 Reaction score 27,589 Jul 27, 2018 #21 Hayo mambo ya ushetani huwa ni kweli au ya kutunga tu jamani
vanmedy JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,406 Jul 27, 2018 #22 Mleta mada unaumwa ugonjwa mmoja wa akili unaitwa 'schizophrenia" .. unahusiana na uwezo wa kutengeneza conspiracy theories na kuziamini kindakindaki... kwa kuwa unabadili uwezo wa fikra,hisia na matendo/tabia
Mleta mada unaumwa ugonjwa mmoja wa akili unaitwa 'schizophrenia" .. unahusiana na uwezo wa kutengeneza conspiracy theories na kuziamini kindakindaki... kwa kuwa unabadili uwezo wa fikra,hisia na matendo/tabia
el nino JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,712 Reaction score 5,058 Jul 27, 2018 #23 jogi said: Unataka tufanyeje sasa mkuu? Mbona hujaongelea chochote kuhusu plastic surgery alizokuwa anafanya ili amfanane Rose? Click to expand... hajawahi kufanya surgery ili afanane na rose.. ni story tuu
jogi said: Unataka tufanyeje sasa mkuu? Mbona hujaongelea chochote kuhusu plastic surgery alizokuwa anafanya ili amfanane Rose? Click to expand... hajawahi kufanya surgery ili afanane na rose.. ni story tuu
el nino JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,712 Reaction score 5,058 Jul 27, 2018 #24 Jane Msowoya said: Naskia alibadili dini na kuwa muislam, kuna ukweli? Click to expand... si kweli..hakuna ushahidi wowote ule wa yeye kubadili dini,mpaka kufa alizikwa kikristo
Jane Msowoya said: Naskia alibadili dini na kuwa muislam, kuna ukweli? Click to expand... si kweli..hakuna ushahidi wowote ule wa yeye kubadili dini,mpaka kufa alizikwa kikristo
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,620 Reaction score 27,589 Jul 27, 2018 #25 el nino said: si kweli..hakuna ushahidi wowote ule wa yeye kubadili dini,mpaka kufa alizikwa kikristo Click to expand... Mbona siioni hiyo video ya black or white naona zingine tu nataka hiyo anayoelezea mtoa mada sijui alimwaga maji sijui namba nione
el nino said: si kweli..hakuna ushahidi wowote ule wa yeye kubadili dini,mpaka kufa alizikwa kikristo Click to expand... Mbona siioni hiyo video ya black or white naona zingine tu nataka hiyo anayoelezea mtoa mada sijui alimwaga maji sijui namba nione
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 14,244 Reaction score 10,073 Jul 27, 2018 #26 Inavutia na mtiririko mzuri. Hongera sana mkuu