Hii hapa A to Z kilicho muua Michael Jackson

Hii hapa A to Z kilicho muua Michael Jackson

Mleta mada unaumwa ugonjwa mmoja wa akili unaitwa 'schizophrenia" .. unahusiana na uwezo wa kutengeneza conspiracy theories na kuziamini kindakindaki... kwa kuwa unabadili uwezo wa fikra,hisia na matendo/tabia
 
Unataka tufanyeje sasa mkuu? Mbona hujaongelea chochote kuhusu plastic surgery alizokuwa anafanya ili amfanane Rose?
hajawahi kufanya surgery ili afanane na rose.. ni story tuu
 
si kweli..hakuna ushahidi wowote ule wa yeye kubadili dini,mpaka kufa alizikwa kikristo
Mbona siioni hiyo video ya black or white naona zingine tu nataka hiyo anayoelezea mtoa mada sijui alimwaga maji sijui namba nione
 
Back
Top Bottom