Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Hayo mambo ya ushetani huwa ni kweli au ya kutunga tu jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hajawahi kufanya surgery ili afanane na rose.. ni story tuuUnataka tufanyeje sasa mkuu? Mbona hujaongelea chochote kuhusu plastic surgery alizokuwa anafanya ili amfanane Rose?
si kweli..hakuna ushahidi wowote ule wa yeye kubadili dini,mpaka kufa alizikwa kikristoNaskia alibadili dini na kuwa muislam, kuna ukweli?
Mbona siioni hiyo video ya black or white naona zingine tu nataka hiyo anayoelezea mtoa mada sijui alimwaga maji sijui namba nionesi kweli..hakuna ushahidi wowote ule wa yeye kubadili dini,mpaka kufa alizikwa kikristo