Hii hapa mikoa 12 inayoendesha uchumi wa nchi, inamiliki na kushikilia asilimia 70% ya uchumi wa Tanzania

Hii hapa mikoa 12 inayoendesha uchumi wa nchi, inamiliki na kushikilia asilimia 70% ya uchumi wa Tanzania

GDP Ina account for volume of production sio swala la bei kupanda au kushuka.

Uzalishaji wa Tumbaku umeongezeka sana miaka 3 hii na Sasa Tanzania ni namba 1 Afrika.

Kazi nzuri ya Serikali ya Rais Samia na Bashe.
Volume of production imeongezeka kwasababu zao la tumbaku limevutia wakulima wengi kwasababu ya bei yake kupanda
 
Kwa Mujibu wa Takwimu za NBS za mwaka 2023 kutoka Kwenye Chapisho la Tanzania in Figures 2023 Limebainisha masuala kadhaa ya takwimu za msingi za Nchi.

Moja kati ya takwimu hizo ni Mchanganuo wa Uchumi wa Kila Mkoa Kwa Tanzania Bara.

Kwa Mujibu wa Takwimu hizo , imebainisha Mikoa 10 ambayo imeshikilia Uchumi mkubwa wa Tanzania yaani yenye Pato la Mkoa (Regional GDP) ya kuanzia kuanzia Shilingi Trilioni 6.7 Hadi Trilioni 32.2.

Mikoa hiyo 10 inashikilia zaidi ya asilimia 70% ya Uchumi wa Nchi huku Mikoa mingine 14 Kwa pamoja ikibakia na asilimia 30% tuu.

Kiufupi mpaka hapo inaonesha umaskini mkubwa huko Mikoani Kwa sababu haiwezekani Mikoa 12 iwe na Uchumi mkubwa kushinda Mikoa 14. Hapa Serikali Ina kazi ya kufanya.

Orodha ya Mikoa hiyo Heavy Weights na Pato la Kila Mkoa (Trilioni) ni ;

A)Kundi La Kwanza(Top 3 Regions)-Mikoa yenye pato Zaidi ya Trilioni 10.

1.DSM =32.2
2.Mwanza =13.5
3.Mbeya =10.7

B)Kundi La Pili-Pato Kuanzia Trilioni 8.0-9.9

4.Arusha=8.8
5.Tanga=8.8
6.Morogoro=8.8
7.Geita=8.6
8.Kilimanjaro=8.2

C)Kundi La Tatu-Pato kuanzia Trilioni 6.5-8.0

9.Ruvuma=7.1
10.Shinyanga=6.7
11.Mara=6.7
12.Tabora=6.7

My Take
Mikoa ya Ruvuma, Shinyanga, Mara, Geita na Tabora ni game changer kwenye Uchumi wa Nchi, kutoka kusikojulikana hadi kuwa Mikoa muhimu ni jambo la kupongezwa na kuonesha kwamba kumbe ukifungua Nchi Kwa miundombinu Uchumi unafufuka.

Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi lakini haichangii chochote Cha maana kwenye Uchumi wa Nchi.Pwani inaongoza Kwa viwanda Tanzania lakini ni kama havina Msaada wa Moja kwa kwenye Uchumi wa Mkoa labda mauzo ya Nje ya Nchi nk.

Mwisho, Serikali Ipeleke rasimali za Kutosha kwenye Mikoa ya Mwanza na Mbeya kulingana na Mchango wao kwenye Uchumi.

Haipendezi kuchukua jasho la watu wa Mikoa mingine na kwenda kujengwa Dar, Dodoma na Arusha. Mgawanyo wa Rasilimali ufanyike Kwa uwiano mzuri.
View attachment 3060612

Angalizo:
•Uchambuzi huu sio rasmi Bali ni abstract tuu,hivyo uchukuliwe Kwa lengo la kutoa picha ya Juu Juu kuhusu Hali ya Uchumi wa Mikoa.

•Uchambuzi rasmi na takwimu rasmi za matumizi ni zile zinazotolewa na mamlaka husika kama NBS,ESRF,FinScope,BoT nk.

Pia soma Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania :Kagera namba 2, Dodoma namba 5.Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?
Takwimu zimekaa kichawa sana.

Angalia mchango wa madini na utalii, kisha rudini mseme mkoa wa Mwanza na Mara umekosa nini.
 
Peleka mapovu Yako NBS ,Mimi siwezi kukusaidia zaidi ya kukucheka 😁😁
😂😂😂 Hakuna povu hapo ishu ni ulete information za kutosha sio kuokoteza taarifa then unakuja na conclusion. Leta source za huo utajiri wenu tuone unatoka kwa wananchi au ni mabepari wachache alafu na nyie maskini mnajichanganya humo kama nyumbu
 
One powerful information ambayo ni well known ni kwmaba Kagera ni Mkoa wa 2 Kwa ufukara Tanzania.😄😄
 
Tatizo wahay
Nahisi Kagera "inaonewa". Mkoa mzuri kama huu usingepaswa kutajwa miongoni mwa mikoa masikini. Nipo kwenye gari naelekea Ngara mjini nikitokea Rulenge. Mkoa ni mzuri sana.
1. Hali ya hewa nzuri!
2. Milima ya kuvutia
3. Ardhi yenye rutuba. Uoto wake na mazao ya migomba unathibitsha hilo.

Sioni sababu ya Kagera kutokuwa "tajiri"
Tatizo wahaya hawana hakili, they are Nshomile for nothing, Mkoa mzima umejaa mabonde yenye rutuba lkn hayalimwi, Mito kibao ya msim mzima lkn hakuna hata mabwawa ya kufugia samaki, mpaka leo hii mnalima kwa jembe la mkono. Hiyo mikoa ya wenzenu walishondokana na jembe la mkono tangu miaka 1970 wakaanza kulima kwa play na matrekita. Badirikeni watani zangu pia muache roho mbaya za kutopenda watu Kutoka mikoa Mingine. Ety nyanya, mbogamboga wanaimport Kutoka Chato wakati Mito inatiririsha maji mwaka mzima. Wasukuma mmewafukuza huko rutoro na Burigi ety mnatengeneza ranchi wakati wasukuma walikuwa wanawafundisha jinsi ya kulima mpunga kwenye mabonde..badirikeni nyie watu nyie vitoto vyenu vinadumaa kwa kukosa lishe.
 
Tuhuma zako ni nzito sana kwa hiyo mi najitenga nazo. Na kama ningetaka kutia neno, ningekulaumu kwa kuwatuhumu Wahaya isivyo sawa. Mkoa wa Kagera una makabila kadhaa wenyeji: Wahaya, Wanyambo, Wahangaza, Wasubi, na Washubi.

Ila kuhusu "nchi" ya Kagera kuwa na vilima na mabonde yanayotiririsha maji, upo sahihi kabisa. Maeneo mengi yana vyanzo vya maji karibu, ambapo kwa mtazamo wangu, naona kama havitumiki vya kutosha.

Kule Ngara kuna eneo nilikuta mahali nililiona bonde zuri linalofaa kwa kilimo cha mpunga, nilipomwuliza mwenyeji wangu kama na huko wanalima mpunga, aliniambia watu wengi wa huko ni walevi hivyo hawapendi kazi zinazokula sana muda kama kilimo cha mpunga.

Hilo blonde lingepelekwa Usukumani, lingegeuzwa shamba la mpunga.

Hata hivyo, si sahihi kuwalaumu watu wa Kagera kwa umasikini wa mkoa wao. Inawezekana hdli hiyo imechangiwa na wenye mamlaka.
 
Back
Top Bottom