Hii hapa mikoa 12 inayoendesha uchumi wa nchi, inamiliki na kushikilia asilimia 70% ya uchumi wa Tanzania

Hii hapa mikoa 12 inayoendesha uchumi wa nchi, inamiliki na kushikilia asilimia 70% ya uchumi wa Tanzania

Ata ujaelewa mada hv unafahamu swala la mnada wa kahawa kuwa moshi unaisaidiaje moshi kimapato?
Hata Mikoa mingine mfano Mbeya,Iringa nk wanapelekwa huko huko tena Hadi Chai Yao inaenda mnadani Dar.

Mwisho Kwa Sasa minada Mingi Iko online so Hilo sio excuses tena 😁😁👇👇

View: https://twitter.com/shambamedia/status/1818504174083952668?t=aN9zk_UJbgosDEaYAtON-Q&s=19

My Take: Kagera pigeni kazi excuses za kivivu hazitawasaidia,Moshi Iko wapi hapo? 🤣🤣🙏
 
1. Kama Njombe haipo kwenye top 10, hiyo ripoti inaweza ikawa imechakachuliwa

2. Kama kila mkoa ungeruhusiwa utumie mapato yake kwa maendeleo yake, Arusha pangekuwa pameendelea zaidi ya ilivyo sasa.
Hawa ambao Control number wanatia mfukoni?
 
Ndiyo maana nilisema mshirikiane na wabunge ili wakae na taasisi nyingine waone namna ya kumsaidia mkulima.
Lazima tutafute ufumbuzi
Wabunge hawa wanaochaguliwa vzr tu. Wakishafika huko kila sentensi mia 80 ni kumshukuru Mama Samia.
Bukoba ishaongozwa na vyama vyote kuanzia CUF, UKAWA, Chadema nk...

Kinachopaswa kubadilika ni mfumo mzima wa serikali. Ile katiba ya warioba ingesaidia mambo mengi sana.

Hiyo ni kagera tu...kila mkoa unamatatizo yake
 
1. Siwafahamu sana Wahangaza, lakini nimeshawahi kuishi na baadhi yao kwa muda mfupi. Ni watu wazuri kama ilivyo kwa Jamii kubwa ya Watanzania.

2. Kama unataka kwenda kuoa Ngara, nenda kwa amani. Lakini si lazima umwoe Muangaza. Kuna na makabila mengine pia huko, hata Wasukuma wapo. Lenga kumwoa mtu utakayeamini mtaweza kushare kila kitu katika maisha yenu. Huoi kabila, unamwoa mtu

3. Kikubwa ni wewe kuthibiti mitazamo yako kiusahihi!

Unajua hata raia wa Mataifa ya kigeni, kama Wanigeria na Wakenya wanaamini mabinti wa Kitanzania ndiyo wanawake bora wa kuwaoa? Wanaposema hivyo, wanawamaanisha Wachaga, Wameru, Wasukuma, Wamakonde, Wamwera, Wamasai, Wasambaa, Wahaya, Wahangaza, Waha, Wafipa, Wakurya, n.k.

4. Ingawa watu wa mikoa mingine wanaamini kuwa Waha na Wahangaza ni wife material, wanaume wengi wa Kiha na Kihangaza, hasa wanaoishi jirani na Burundi, hupendelea kuoa mabinti wa Kirundi. Leo nilipomwuliza kijana mmoja wa Kihangaza sababu inayowapelekea baadhi yao kuamua kuwao Warundi alinipa sababu mbili. Ya kwanza ni kwamba wanawake wa Kirundi ni wachapa kazi sana, na ya pili ni mahari wanayotozwa Burundi ni kidogo sana ukilinganisha na ya kwa Wahangaza.

Kwa hiyo, kama unataka kumwoa Muhangaza wewe fanya hivyo, lakini usitarajie mwujiza katika ndoa yako. Mwanamke haolewe akiwa "amekamilika", ni kazi ya mwanaume "kukamilisha".

Ndoa bora ni matokeo ya "uwekezaji" bora.
Nikweli unavyosema ila ukweli ni kwamba kabila lina nafasi yake 70% kumjenga mtu nakuambia hivyo kwasababu kama ungefika huku kusini ukawaona wamakua,wayao,wamwera na wamakonde ungenielewa ninachomaanisha
 
Wabunge hawa wanaochaguliwa vzr tu. Wakishafika huko kila sentensi mia 80 ni kumshukuru Mama Samia.
Bukoba ishaongozwa na vyama vyote kuanzia CUF, UKAWA, Chadema nk...

Kinachopaswa kubadilika ni mfumo mzima wa serikali. Ile katiba ya warioba ingesaidia mambo mengi sana.

Hiyo ni kagera tu...kila mkoa unamatatizo yake
🤣🤪🤣😁😁 Kusini kumetengwa Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania :Kagera namba 2, Dodoma namba 5.Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?
 
Tuwe na kanuni za uwazi kama ilivyo USA badala ya Baadhi ya Mikoa kupewa keki zaidi tena ya kutoka Mikoa mingine kanakwamba watu wa Mikoa hiyo hawana mahitaji.
Hata majimbo ya uchaguzi pia yagawanywe kwa kanuni za wazi, Haiwezekani Mkoa wa Mtwara una wapiga kura laki tisa una majimbo 10 ya uchaguzi sawa na Dar es Salaam yenye wapiga kura milioni 3.
 
Hata majimbo ya uchaguzi pia yagawanywe kwa kanuni za wazi, Haiwezekani Mkoa wa Mtwara una wapiga kura laki tisa una majimbo 10 ya uchaguzi sawa na Dar es Salaam yenye wapiga kura milioni 3.
Mgawanyo wa majimbo una kanuni za uwazi ambazo zimepewa weights tofauti kwenye consideration pengine shida ni uzingatiwaji wa kanuni.

Kwenye mgawanyo wa Rasilimali za Nchi hakuna kanuni rasmi.
 
Mgawanyo wa majimbo una kanuni za uwazi ambazo zimepewa weights tofauti kwenye consideration pengine shida ni uzingatiwaji wa kanuni.

Kwenye mgawanyo wa Rasilimali za Nchi hakuna kanuni rasmi.
Weight kubwa inatakiwa iwe idadi ya watu, wabunge na madiwani wanawakilisha watu, sio milima, nyumbu na misitu.
 
Kwani lazima yawe majimbo ndio maendeleo yake?
Basi kitumike kigezo cha kiwango cha umaskini, wenye kiwango kikubwa zaidi cha umaskini wapewe mapato mengi na miradi mikubwa na mingi zaidi kutoka serikalini.
 
Weight kubwa inatakiwa iwe idadi ya watu, wabunge na madiwani wanawakilisha watu, sio milima, nyumbu na misitu.
Haiwezekani,weights kubwa hutokewa kwenye eneo kubwa na mtawanyiko mkubwa Kwa sababu unaweza wajaza watu hata Milioni kwenye eneo dogo
 
Haiwezekani,weights kubwa hutokewa kwenye eneo kubwa na mtawanyiko mkubwa Kwa sababu unaweza wajaza watu hata Milioni kwenye eneo dogo
Confusing, Zanzibar ina wabunge 50 wakati ina wapiga kura laki tano.
 
Back
Top Bottom