ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #141
Sgr itakuwa na maana ikivuka boda,ila ndani ya Nchi hii ni uselessNi mapema sana ku judge return ya sgr, ipe next 10 years
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sgr itakuwa na maana ikivuka boda,ila ndani ya Nchi hii ni uselessNi mapema sana ku judge return ya sgr, ipe next 10 years
Uchumi wa morogoro unabebwa na mbuga tuuu ! Hakuna biashara paleNimefurahi kuona mkoa wetu wa Morogoro unafanya vizuri.
Makofi ya nini👏🏾👏🏾
Hata Mikoa mingine mfano Mbeya,Iringa nk wanapelekwa huko huko tena Hadi Chai Yao inaenda mnadani Dar.Ata ujaelewa mada hv unafahamu swala la mnada wa kahawa kuwa moshi unaisaidiaje moshi kimapato?
Hawa ambao Control number wanatia mfukoni?1. Kama Njombe haipo kwenye top 10, hiyo ripoti inaweza ikawa imechakachuliwa
2. Kama kila mkoa ungeruhusiwa utumie mapato yake kwa maendeleo yake, Arusha pangekuwa pameendelea zaidi ya ilivyo sasa.
Wabunge hawa wanaochaguliwa vzr tu. Wakishafika huko kila sentensi mia 80 ni kumshukuru Mama Samia.Ndiyo maana nilisema mshirikiane na wabunge ili wakae na taasisi nyingine waone namna ya kumsaidia mkulima.
Lazima tutafute ufumbuzi
Nikweli unavyosema ila ukweli ni kwamba kabila lina nafasi yake 70% kumjenga mtu nakuambia hivyo kwasababu kama ungefika huku kusini ukawaona wamakua,wayao,wamwera na wamakonde ungenielewa ninachomaanisha1. Siwafahamu sana Wahangaza, lakini nimeshawahi kuishi na baadhi yao kwa muda mfupi. Ni watu wazuri kama ilivyo kwa Jamii kubwa ya Watanzania.
2. Kama unataka kwenda kuoa Ngara, nenda kwa amani. Lakini si lazima umwoe Muangaza. Kuna na makabila mengine pia huko, hata Wasukuma wapo. Lenga kumwoa mtu utakayeamini mtaweza kushare kila kitu katika maisha yenu. Huoi kabila, unamwoa mtu
3. Kikubwa ni wewe kuthibiti mitazamo yako kiusahihi!
Unajua hata raia wa Mataifa ya kigeni, kama Wanigeria na Wakenya wanaamini mabinti wa Kitanzania ndiyo wanawake bora wa kuwaoa? Wanaposema hivyo, wanawamaanisha Wachaga, Wameru, Wasukuma, Wamakonde, Wamwera, Wamasai, Wasambaa, Wahaya, Wahangaza, Waha, Wafipa, Wakurya, n.k.
4. Ingawa watu wa mikoa mingine wanaamini kuwa Waha na Wahangaza ni wife material, wanaume wengi wa Kiha na Kihangaza, hasa wanaoishi jirani na Burundi, hupendelea kuoa mabinti wa Kirundi. Leo nilipomwuliza kijana mmoja wa Kihangaza sababu inayowapelekea baadhi yao kuamua kuwao Warundi alinipa sababu mbili. Ya kwanza ni kwamba wanawake wa Kirundi ni wachapa kazi sana, na ya pili ni mahari wanayotozwa Burundi ni kidogo sana ukilinganisha na ya kwa Wahangaza.
Kwa hiyo, kama unataka kumwoa Muhangaza wewe fanya hivyo, lakini usitarajie mwujiza katika ndoa yako. Mwanamke haolewe akiwa "amekamilika", ni kazi ya mwanaume "kukamilisha".
Ndoa bora ni matokeo ya "uwekezaji" bora.
🤣🤪🤣😁😁 Kusini kumetengwa Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania :Kagera namba 2, Dodoma namba 5.Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?Wabunge hawa wanaochaguliwa vzr tu. Wakishafika huko kila sentensi mia 80 ni kumshukuru Mama Samia.
Bukoba ishaongozwa na vyama vyote kuanzia CUF, UKAWA, Chadema nk...
Kinachopaswa kubadilika ni mfumo mzima wa serikali. Ile katiba ya warioba ingesaidia mambo mengi sana.
Hiyo ni kagera tu...kila mkoa unamatatizo yake
Serikali za majimboTudai kanuni Mpya na za wazi za mgawanyo wa Rasilimali,wanaozalisha wanapuuzwa ila wasiozalisha ndio wanapewa kipaombele
Kwani lazima yawe majimbo ndio maendeleo yake?Serikali za majimbo
Hata majimbo ya uchaguzi pia yagawanywe kwa kanuni za wazi, Haiwezekani Mkoa wa Mtwara una wapiga kura laki tisa una majimbo 10 ya uchaguzi sawa na Dar es Salaam yenye wapiga kura milioni 3.Tuwe na kanuni za uwazi kama ilivyo USA badala ya Baadhi ya Mikoa kupewa keki zaidi tena ya kutoka Mikoa mingine kanakwamba watu wa Mikoa hiyo hawana mahitaji.
Mgawanyo wa majimbo una kanuni za uwazi ambazo zimepewa weights tofauti kwenye consideration pengine shida ni uzingatiwaji wa kanuni.Hata majimbo ya uchaguzi pia yagawanywe kwa kanuni za wazi, Haiwezekani Mkoa wa Mtwara una wapiga kura laki tisa una majimbo 10 ya uchaguzi sawa na Dar es Salaam yenye wapiga kura milioni 3.
Kikitumika kigezo cha idadi ya watu kanda ya ziwa watachukuwa share kubwa zaidi ya mapato.Kwani lazima yawe majimbo ndio maendeleo yake?
Weight kubwa inatakiwa iwe idadi ya watu, wabunge na madiwani wanawakilisha watu, sio milima, nyumbu na misitu.Mgawanyo wa majimbo una kanuni za uwazi ambazo zimepewa weights tofauti kwenye consideration pengine shida ni uzingatiwaji wa kanuni.
Kwenye mgawanyo wa Rasilimali za Nchi hakuna kanuni rasmi.
Basi kitumike kigezo cha kiwango cha umaskini, wenye kiwango kikubwa zaidi cha umaskini wapewe mapato mengi na miradi mikubwa na mingi zaidi kutoka serikalini.Kwani lazima yawe majimbo ndio maendeleo yake?
Haiwezekani,weights kubwa hutokewa kwenye eneo kubwa na mtawanyiko mkubwa Kwa sababu unaweza wajaza watu hata Milioni kwenye eneo dogoWeight kubwa inatakiwa iwe idadi ya watu, wabunge na madiwani wanawakilisha watu, sio milima, nyumbu na misitu.
Confusing, Zanzibar ina wabunge 50 wakati ina wapiga kura laki tano.Haiwezekani,weights kubwa hutokewa kwenye eneo kubwa na mtawanyiko mkubwa Kwa sababu unaweza wajaza watu hata Milioni kwenye eneo dogo
Mimi sijui au ww?Arusha kama Mkoa au kama Jiji ,inaelekea huelewi takwimu au huelewi unachoongea.
Arusha hakuna maendeleo yeyote ya maana
Jibu hojaMimi sijui au ww?
Ebu taja hiyo mikoa ambayo ipo juu yake? Kama unajua unachoongea!Mdau uko tayari? Utakimbia jukwaa sio mda 🤣🤣
Kwa taarifa Yako tuu Iko nafasi ya 4 au ya 5 huko