Hii hapa mikoa 12 inayoendesha uchumi wa nchi, inamiliki na kushikilia asilimia 70% ya uchumi wa Tanzania

GDP Ina account for volume of production sio swala la bei kupanda au kushuka.

Uzalishaji wa Tumbaku umeongezeka sana miaka 3 hii na Sasa Tanzania ni namba 1 Afrika.

Kazi nzuri ya Serikali ya Rais Samia na Bashe.
Volume of production imeongezeka kwasababu zao la tumbaku limevutia wakulima wengi kwasababu ya bei yake kupanda
 
Takwimu zimekaa kichawa sana.

Angalia mchango wa madini na utalii, kisha rudini mseme mkoa wa Mwanza na Mara umekosa nini.
 
Takwimu zimekaa kichawa sana.

Angalia mchango wa madini na utalii, kisha rudini mseme mkoa wa Mwanza na Mara umekosa nini.
Andika kitu kinachoeleweka na kama unabisha peleka malalamiko Yako NBS
 
Peleka mapovu Yako NBS ,Mimi siwezi kukusaidia zaidi ya kukucheka 😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hakuna povu hapo ishu ni ulete information za kutosha sio kuokoteza taarifa then unakuja na conclusion. Leta source za huo utajiri wenu tuone unatoka kwa wananchi au ni mabepari wachache alafu na nyie maskini mnajichanganya humo kama nyumbu
 
One powerful information ambayo ni well known ni kwmaba Kagera ni Mkoa wa 2 Kwa ufukara Tanzania.πŸ˜„πŸ˜„
 
Tatizo wahay
Tatizo wahaya hawana hakili, they are Nshomile for nothing, Mkoa mzima umejaa mabonde yenye rutuba lkn hayalimwi, Mito kibao ya msim mzima lkn hakuna hata mabwawa ya kufugia samaki, mpaka leo hii mnalima kwa jembe la mkono. Hiyo mikoa ya wenzenu walishondokana na jembe la mkono tangu miaka 1970 wakaanza kulima kwa play na matrekita. Badirikeni watani zangu pia muache roho mbaya za kutopenda watu Kutoka mikoa Mingine. Ety nyanya, mbogamboga wanaimport Kutoka Chato wakati Mito inatiririsha maji mwaka mzima. Wasukuma mmewafukuza huko rutoro na Burigi ety mnatengeneza ranchi wakati wasukuma walikuwa wanawafundisha jinsi ya kulima mpunga kwenye mabonde..badirikeni nyie watu nyie vitoto vyenu vinadumaa kwa kukosa lishe.
 
Tuhuma zako ni nzito sana kwa hiyo mi najitenga nazo. Na kama ningetaka kutia neno, ningekulaumu kwa kuwatuhumu Wahaya isivyo sawa. Mkoa wa Kagera una makabila kadhaa wenyeji: Wahaya, Wanyambo, Wahangaza, Wasubi, na Washubi.

Ila kuhusu "nchi" ya Kagera kuwa na vilima na mabonde yanayotiririsha maji, upo sahihi kabisa. Maeneo mengi yana vyanzo vya maji karibu, ambapo kwa mtazamo wangu, naona kama havitumiki vya kutosha.

Kule Ngara kuna eneo nilikuta mahali nililiona bonde zuri linalofaa kwa kilimo cha mpunga, nilipomwuliza mwenyeji wangu kama na huko wanalima mpunga, aliniambia watu wengi wa huko ni walevi hivyo hawapendi kazi zinazokula sana muda kama kilimo cha mpunga.

Hilo blonde lingepelekwa Usukumani, lingegeuzwa shamba la mpunga.

Hata hivyo, si sahihi kuwalaumu watu wa Kagera kwa umasikini wa mkoa wao. Inawezekana hdli hiyo imechangiwa na wenye mamlaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…