Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda, lakini ujue watu wa Arusha kwa asili ni wachapa kazi.Hakuna kitu kama hicho, Arusha wanajionaga wa mbele sana. Hivi unajua wanachoringia Arusha ni matajiri wachache wenye hela nyingi ambapo matajiri hawa wachache hawawezi kuwa sehemu kubwa ya maendeleo ya mkoa.
Unafikiri ni kwa nini?Kwa muda mrefu Mbeya imekuwa sehemu ya uchumi wa Taifa ila haiendani kabisa na maendeleo ya miundombinu.
Inaumiza sana sana mkoa kama shinyanga, Geita, Mara penye madini mengi ya dhaabu lakin ndiyo kwenye amaskini mkubwa maji tu na shule ni shida hadi huruma na wananchi wanaona kawaida tu alafu tunawasingizia wawekezaji ila jukumu ambalo serikali ilitakiwa kulitekeleza kutoa at a asilimia 10 ya mapato ya madini kuendeleza maeneo ayoo ila imekuwa kama kiini macho tuRuvuma kuna uvunaji mkubwa sana wa Makaa ya mawe unaendelea. Huu uvunaji haina impact ya moja kwa moja kwa mwananchi wa kawaida wa Ruvuma zaidi ya kuongeza mapato ya Mkoa na Taifa. Maisha ya wanaruvuma bado ni duni sana kusema kweli.
Kila mara nasema itungwe sheria kulazimisha sehemu ya mapato yatokanayo na rasilimali ibaki eneo husika ili kusaidia maeneo hayo kiinuka kiuchumi. Kwa sasa wanaruvuma wanashangaa tu malori maelfu kwa maelfu yanasomba mkaa kila uchao bila faida yoyote kwao
Namba hazidanganyi LutashobyaSioni sababu ya Kagera kutokuwa "tajiri
Mkoa Mpya wa KilomberoTugawanywe wapi na wapi ?
Naunga mkono hoja,Tunatakiwa tupate watu kama kina Mwambukusi ambao watausemea Mkoa Wetu.Kwa muda mrefu Mbeya imekuwa sehemu ya uchumi wa Taifa ila haiendani kabisa na maendeleo ya miundombinu.
Muonewe Kwa lipi? Nyie ni wavivu.Hayo yote uliyoyaeleza kama hamyatumii kukuza Uchumi alaumiwe nani Sasa , Serikali au? 🤣🤣🤣🤣Nahisi Kagera "inaonewa". Mkoa mzuri kama huu usingepaswa kutajwa miongoni mwa mikoa masikini. Nipo kwenye gari naelekea Ngara mjini nikitokea Rulenge. Mkoa ni mzuri sana.
1. Hali ya hewa nzuri!
2. Milima ya kuvutia
3. Ardhi yenye rutuba. Uoto wake na mazao ya migomba unathibitsha hilo.
Sioni sababu ya Kagera kutokuwa "tajiri"
Tudai kanuni Mpya na za wazi za mgawanyo wa Rasilimali,wanaozalisha wanapuuzwa ila wasiozalisha ndio wanapewa kipaombeleInaumiza sana sana mkoa kama shinyanga, Geita, Mara penye madini mengi ya dhaabu lakin ndiyo kwenye amaskini mkubwa maji tu na shule ni shida hadi huruma na wananchi wanaona kawaida tu alafu tunawasingizia wawekezaji ila jukumu ambalo serikali ilitakiwa kulitekeleza kutoa at a asilimia 10 ya mapato ya madini kuendeleza maeneo ayoo ila imekuwa kama kiini macho tu
Sababu mojawapo ni kutokuwa na kanuni maalumu ya kugawa Rasilimali na pia mambo ya kisiasa.Unafikiri ni kwa nini?
Fursa kubwa waliyonayo ni kuwa Capital City tuu nothing else.Dodoma pamoja na fursa zote lakini siwaoni kwenye top 12
Sijawahi andika mada ambayo Haina akili ,Mimi Huwa sushikiwi akili za mob.Ikibidi kurudi kujihakikishia jina ya mwanzisha mada.
Leo umeandika kwa akili zako, japo inaweza kuwa si zote.
Kwa siku za usoni Songwe na Njombe zinaweza kuonekana.
Nahisi kuna mikoa inadidimizwa makusudi
Tuwe na kanuni za uwazi kama ilivyo USA badala ya Baadhi ya Mikoa kupewa keki zaidi tena ya kutoka Mikoa mingine kanakwamba watu wa Mikoa hiyo hawana mahitaji.Siasa za nchi hii ni za ajabu sana, mikoa mingi inazalisha pato kubwa kwa ajili ya taifa lakini ina umasikini wa kutupwa.
Nakubaliana na mchangia mada hapo juu kufanywe mageuzi katika sera ya mgawanyo wa keki ya taifa.
Hata mgawanyo wa huduma za kijamii zinawekwa sehemu moja matokeo yake mji mmoja unakuwa na 10%+ ya population ya watanzania wote na kuleta jam isiyokuwa na maana.Tuwe na kanuni za uwazi kama ilivyo USA badala ya Baadhi ya Mikoa kupewa keki zaidi tena ya kutoka Mikoa mingine kanakwamba watu wa Mikoa hiyo hawana mahitaji.
Waache uchawiNahisi Kagera "inaonewa". Mkoa mzuri kama huu usingepaswa kutajwa miongoni mwa mikoa masikini. Nipo kwenye gari naelekea Ngara mjini nikitokea Rulenge. Mkoa ni mzuri sana.
1. Hali ya hewa nzuri!
2. Milima ya kuvutia
3. Ardhi yenye rutuba. Uoto wake na mazao ya migomba unathibitsha hilo.
Sioni sababu ya Kagera kutokuwa "tajiri"
Huo ndio ukweli !Tuwe na kanuni za uwazi kama ilivyo USA badala ya Baadhi ya Mikoa kupewa keki zaidi tena ya kutoka Mikoa mingine kanakwamba watu wa Mikoa hiyo hawana mahitaji.