Hii hapa ni Picha kabambe ya Wiki, Imepatikana Sengerema

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Huyu hapa ni Mtu mwenye Ulemavu aliyepambana kusogea hadi Jukwaa Kuu ili Kuchangia Tone Tone ya Chadema, Michango ya Tone tone inawezesha Chama hicho kujiendesha, kununulia mafuta ya magari ili Viongozi waweze kufika kila kijiji



Imezoeleka kwamba Mara zote Walemavu wamekuwa watu wa kupewa zaidi kuliko kutoa, ndio maana wengi wameshangaa
 
Hadi viwete mnakamua tuu, kuweni na huruma na haya makundi maalumu.
 
Hiyo inaweza kuwa picha ya mwaka kwa 2025

Ina hamasisha, inaonyesha kiasi gani watu wanavyoguswa na harakati za chadema
kutoa ni moyo na sio utajiri, kidogo na kidogo ndio mwanzo wa kupata kikubwa
 
Hiyo inaweza kuwa picha ya mwaka kwa 2025

Ina hamasisha, inaonyesha kiasi gani watu wanavyoguswa na harakati za chadema
kutoa ni moyo na sio utajiri, kidogo na kidogo ndio mwanzo wa kupata kikubwa
Hakika
 
Umesahau kuwaombea wazungu kama kawaida yako eti "Mungu Wabariki Wazungu"
 
Mtanzania mlemavu anaichangia Chadema yenye watu wazima kabisa! Very shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…