Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Chadema ni watu wema sana.Huyu hapa ni Mtu mwenye Ulemavu aliyepambana kusogea hadi Jukwaa Kuu ili Kuchangia Tone Tone ya Chadema, Michango ya Tone tone inawezesha Chama hicho kujiendesha, kununulia mafuta ya magari ili Viongozi waweze kufika kila kijiji
View attachment 3331880View attachment 3331882
Imezoeleka kwamba Mara zote Walemavu wamekuwa watu wa kupewa zaidi kuliko kutoa, ndio maana wengi wameshangaa