Hii hapa ni Picha kabambe ya Wiki, Imepatikana Sengerema

Hii hapa ni Picha kabambe ya Wiki, Imepatikana Sengerema

Hii ndo maana ya tone tone dadeki. Kuna siku mtakuta kijani zinaning’inia kwenye miti
 
Daaah wee mkyundu si utumie akili hata ya shemeji Yako Aliye muoa dadako au za baba Yako wa kambo basi!??

Ni lini vilema wanatibiwa Bure?
Ni lini vilema hawakatwi Kodi kwenye serikali hii ya ccm?

Katawaze Mmeo anakuja akukaze
Mashoga mnawaza kufirw tuu. Kumuomba mlemavu unaona jambo la kujisifia eti kisa wanalipa kodi!
Au vile ukifrw na mlemavu anakuhonga unaona sawa na kumuomba hela?
Punguani wewe.
 
Hapo Kile Chama Kingine Kinakachotoka October 2025 Kinaumia Sana
 
Huyu hapa ni Mtu mwenye Ulemavu aliyepambana kusogea hadi Jukwaa Kuu ili Kuchangia Tone Tone ya Chadema, Michango ya Tone tone inawezesha Chama hicho kujiendesha, kununulia mafuta ya magari ili Viongozi waweze kufika kila kijiji

View attachment 3331880View attachment 3331882

Imezoeleka kwamba Mara zote Walemavu wamekuwa watu wa kupewa zaidi kuliko kutoa, ndio maana wengi wameshangaa

View: https://x.com/MaryJohnDorris1/status/1916140194543046795?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1916140194543046795%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
 
Huyu hapa ni Mtu mwenye Ulemavu aliyepambana kusogea hadi Jukwaa Kuu ili Kuchangia Tone Tone ya Chadema, Michango ya Tone tone inawezesha Chama hicho kujiendesha, kununulia mafuta ya magari ili Viongozi waweze kufika kila kijiji

View attachment 3331880View attachment 3331882

Imezoeleka kwamba Mara zote Walemavu wamekuwa watu wa kupewa zaidi kuliko kutoa, ndio maana wengi wameshangaa
Kwa kweli wananchi wameichoka CCM na ahadi zao za kipumbavu, we toka uhuru mpaka leo hii matatizo ni yale yale tu wanashindwa kuyatatua.
 
Back
Top Bottom