Hii hapa ni Picha kabambe ya Wiki, Imepatikana Sengerema

Chadema ni watu wema sana.
 
MUNGU IBARIKI CHADEMA
 
Nasikia watu walikuwa wengi mpaka wengine wamezuiwa
 
This is very powerful!
Sijawahi kupenda mavyama ila Heche anaongea kutoka moyoni ..kwa kumuangalia tu usoni....
Mungu ambariki sana kwa kujitoa kwake...
 
Hii si ajabu, kwani watanzania muda wote wanapenda kuona kuna chama cha upinzani madhubuti, hii ni kiu ya watanzania, hivyo kikijithibitisha lazima wajitokeze na kujitoa, kikitumika watajuwa na watakikimbia! Ila kubwa wanaamini uwepo wa upinzani imara unachangia maendeleo ya Nchi kwa kuleta mawazo mbadala, si vibaya kwangu!
 
Tlaatlaah na bwana Luka wako wapi?
ati unasema aje we kijana?
lakini hii sio tone tone kidigitali right? kidigitali lema kaisha fanya yake, si ndio?

halafu director alieandaa hii script na kudarect hii drama,
kwenye action hakumuandaa vizuri huyu mlemavu kwahiyo igizo hili limeshindwa kuatract public sympathy vya kutosha
 
Watu wazima mnajisifu kuombaomba kwa vilema. Nyumbu!
Daaah wee mkyundu si utumie akili hata ya shemeji Yako Aliye muoa dadako au za baba Yako wa kambo basi!??

Ni lini vilema wanatibiwa Bure?
Ni lini vilema hawakatwi Kodi kwenye serikali hii ya ccm?

Katawaze Mmeo anakuja akukaze
 
..kwani Ccm imewasamehe kodi na tozo vilema ktk nchi yetu?
Kwa akili hizi, huyu Mwamposa1 hawawezi kuwa na jibu la swali hili hata atambike vipi....

Anawashangaa vilema wa viungo vya mwili kuchangia movement ya mabadiliko inayobebwa na kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION lakini yeye Mwamposa1 hapo alipo ni mlemavu wa akili na ushahidi ni yatokayo mdomoni mwake na kuyaandika hapa...!!
 
Hii chadema imepaaa baada ya kumkamata Lissu..,!
Nilichokuja kugundua Watanzania wana akili sana,sio wale wa enzi za ukoloni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…