Hii hapa single ya Shaka Hamdu Shaka Kumbe kiongozi huyu ni msanii mzuri

Hii hapa single ya Shaka Hamdu Shaka Kumbe kiongozi huyu ni msanii mzuri

ABC ZA 2025

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2018
Posts
1,299
Reaction score
832
Shaka Hamdu Shaka ni kiongozi mahiri anayeweza kuteka karibu kila kundi,

Hebu tazama hii treilor (kionjo) cha song kali linaloandaliwa katika studio maarufu zaidi hapa nchini,

Tunahitaji viongozi wabunifu na mahiri katika vyama na Serikali ili kuliletea Taifa maendeleo kwa haraka,

 
Back
Top Bottom