Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

Hata siku moja msijidanganye kwenye ulimwengu wa electronics especial TV's kwasasa kumlinganisha Samsung na hao wengine. LG ni wabovu sana tena kwenye vioo.
SAMSUNG wako vizuri kwa mambo mengi. LG ni wa ovyo sana. Nilinunua mredio gwao gukubwaaa. Miezi mitatu tu ikaanza kuzingua haipigi kwenye frash. Huku na kule nikaisafirisha toka mkoa kuwapelekea wenyewe LG kisutu nakumbuka. Kufungua tu wanakuchaji elfu 30(Firigisi zao). Ikaja wakaniambia imeungua nafikiri transiter kama hivyo. (Ni kitambo). Tukatafuta kile kifaa ziro. Wenyewe kuniagizia kile kifaa mpaka kuja kunifungia inakuja karibiana na bei karibiana na radio kama ile mpya. Mpaka leo limebaki kopo likiwa bado jipya.
 
Warranty ni miaka miwili, kwa nini ukubali kuchajiwa pesa kwa matengenezo?
Lakini pia sehemu ya flash tu kuharibika ndio usitumie redio tena?
 
Sio frash tu mkuu nafikiri ilikuwa haiwaki kabisa ukichomeka kwenye umeme. Na bahati mbaya niliwaamini hata risit zao nikazimiss place.
 
Kuna dogo anayapenda hayo madude kauza TV kali ya LG kaenda kununua Alitope na spika la Aborder
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Duuh huyo dogo noma
 
Back
Top Bottom