Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

Koffi Annan hapa nimeona TCL C655 model ni mashine, ni kujichapa hiyo inchi 65 maisha yawe mepesi. Maduka ya Dar naona wanauza Tshs. 1.9m vipi wako sawa?
Iangalie zaidi hapa
Ni sawa ndo bei ya retail hiyo, mimi naweza kukupa kwa 1.8
 
Hata siku moja msijidanganye kwenye ulimwengu wa electronics especial TV's kwasasa kumlinganisha Samsung na hao wengine. LG ni wabovu sana tena kwenye vioo.
Mkuu sijui unatumia TV gani, binafsi nilitumia LG 86inch NanoCell ikafanya mstari kwenye kioo sababu ya watoto, nikafanya window shopping comparison kati ya Samsung na LG, nikaangukia LG OLED 77inch kiukweli sijaona TV yenye kumfikia LG OLED
20241022_183957.jpg
 
Mkuu hiyo Risingi ipigishe ON masaa 20+ alaf mchukua LG ama Samsung mpigishe masaa hayo hayo alafu uone nan atakufa mapema

Durability always mchina hana hiyo kanuni
Kwangu tv huwa inazimwa muda wa kulala tu, hiyo Rising inapiga kazi zaidi ya masaa 15 kila siku sababu kuna binti wa kazi anaangalia mambo yake muda wote mpaka muda ntaorudi mimi na wife nasi tunaendelea na vipindi vyetu na mzigo haujawahi kuleta shida. Acheni kuishi kwa kukariri, teknolojia imekuwa sana siku hizi.
 
mkuu mm naulizia kioo cha hisense 43" bei gani
Hapo nenda service centre ukiwa na model number au piga simu dukani wakuulizie, ila most likely bei ya kioo kipya huwa inakaribiana na bei ya TV
 
Sawa nauliza wazee,nimefanya uchunguzi wangu mwanzo nilikuwa na aborder 24" kwel tv inaonyesha clear Kwa upande wa itv na tbc na FTA ZOTE ZIkO VERY CLEAR Sasa nikauza
nikachukua 43"evvoli aisee FTA channel ni mawingu tu hamna quality yoyote ,


Nauliza tv ikiwa kubwa ndio quality ya picha inakuwa mbaya?
 
Led normal tv mbona ni nzuri ,kuliko smart tv ambazo ni fhd
 
Back
Top Bottom