Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

Rising Android tv nchi 43 naenjoy mno, picha kali na nimekaa nayo muda mrefu tu. Nyie emdeleeni kununua majina ila mchina anakuja na mizigo mikali sana siku hizi.
Hapa ndio watu wanapotea. Nilinunua mzigo wa Biashada Simu za Samsung nilijuta...picha zimefifia.

Wataje wakanipiga chenga. Nilikula hasara kubwa.
Nilinunua majina
 
As long as it’s electronics Unahitaji utunzaji mkubwa.
1:hakikisha Una stabilizer or guard for your friji or tv.
2: hakikisha vitu vyako muhimu vyote vimeunganishwa na hizo guards kwaweli vitadumu ndani.
Tofauti kubwa ya tv ni resolution lkn mengine yote ni majina tu na utunzaji wa umeme na hasa umeme unaorejea baada yakukata huu nihatari sn kwakuunguza vitu
Nilitaka kuandika hivi. Watu wanalaumu brand za watu kumbe kinachounguza/kuweka mistari TV zao ni umeme wetu. Niliunguza TV na Fridge from UK tangu hapo naweka stabilizer kubwa na tv/fridge guard kwa wakati mmoja. Miaka 4 sasa nina TV ya Hisense bado inadunda zile za Euro 2020 Edition.
 
Rising Android tv nchi 43 naenjoy mno, picha kali na nimekaa nayo muda mrefu tu. Nyie emdeleeni kununua majina ila mchina anakuja na mizigo mikali sana siku hizi.
Hata mimi nilikua naamini picha za tv za kichina ni kali tu mpaka siku nilipoingia banda lenye samsung na wachina wameunganisha dish moja wanaonyesha mechi moja .

Ni mbingu na ardhi
 
Hata mimi nilikua naamini picha za tv za kichina ni kali tu mpaka siku nilipoingia banda lenye samsung na wachina wameunganisha dish moja wanaonyesha mechi moja .

Ni mbingu na ardhi
Kwamba rising ni nzuri mkuu
 
Back
Top Bottom