Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
Wakubwa shikamoo
Tuliolingana Mambo Vipi!!
Wakuu naomba nipo mwaka wa tatu, nasomea Diploma ya Clinacal Officer, CO
Wiki ijayo tunaenda Field
Sasa kinachonishangaza ni hizi gharama za Field tulizoambiwa tutoa
Hapa chuoni kwetu kuna wanaotoa 170,000, wengine 180,000 mpaka 200,000
Hizo hela ati zinapelekwa kwenye hizo hospitali tunazoenda kufanyia Field
Kwani wanasema tutatumia vifaa vyao kama vile Gloves nk
Sasa nikauliza sisi huko Field si tunaenda kufanya kazi na kujifunza Papo hapo. Tunaenda kutibu na kama Gloves au vifaa tutakaovitumia si tutatumia kwa kuzalishia uchumi wa hospitali husika?
Badala sisi ndio tupewe posho au tusitoe chochote kwa maana ya gharama kwani nao wananufaika kupitia kazi zetu
Wakubwa zangu embu naomba kueleweshwa
Na pia naona kama kuna kawizi kanaendelea
Natanguliza shukrani