Hii hela ya Field tunayotoa Watu wa Diploma mbona ni kama wizi

hiyo pesa ni kwaajili ya kuwalipa walimu wanao wa wasimamia. Usafiri, kuaandilia material za field hizo mnazopewa. N.k tumia akili kijana usikurupuke.
 
hiyo pesa ni kwaajili ya kuwalipa walimu wanao wa wasimamia. Usafiri, kuaandilia material za field hizo mnazopewa. N.k tumia akili kijana usikurupuke.
Kwani huko nyuma watu walikuwa wanalipishwa field au ni kitu gani?
 
Kwanza naomba kuuliza hiko chuo ni private au cha serikali
 
Mnaibiwa sana.
Inatakiwa wao ndo wawapatie
 
Unahitaji hela ni kweli ila eleza kwa ufasahaa matumizi yako ya kutwa tukusaidie mawazo sisi kaka zako usikute kuna matumizi hewa na yasiyo ya lzm yanayokufanya utafute hela kwa nguvu
 
Ushauri wangu usilipe hiyo hela na Field usiende 🤣 🤣
 
Yaani wao wanamin kwamba mtu akiwa field anakuwa hajaenda kufanya kazi kwenye hospital husika bali yupo pale kujifunza kwa maana ya kukitumia kile alichosoma darasani.

Pia gharama za hela ya field per each student zinatofautiana kati ya hospital moja na nyingine mfano Bugando haiwezi lingana na hosptal ya wilaya.

Hiyo hela hapigwi bali yupo pale atatumia vifaa vyao katika utoaji huduma (kujifunzia ili awe na experience katika taaluma yake)
Kwahio kwamba mwanafunzi mmoja atatumia gloves za laki 2? Na je hizo apparatus si zinalipwa na budget ya serikali huko mahospitalini?
 
Kijana naona hujitambui. Kuna gharama za Manispaa ambazo ni 400,000 kila rotation na zipo rotation 4. Hiyo ni million 2. Kuna hela inalipwa kwa hospitali mnayorotate abazo ni 30,000 kwa kila mwanafunzi kwa kila rotation. Kusomea udaktari si sawa na kusoma Sociology
 
Mbona MD hawalipii wakienda Field/internship ??

Au unaongea usiyoyajua??
Acha kuandika kitu hujui. Ni mamillion ya hela zinalipwa katika hospitali za Muhimbili, Mwananyamala, mirembe etc kutoka vyuoni hasa vya private. Uliza Kairuki KIU, St Joseph etc. Unaweza zimia
 
Hili bomu kabsaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]field unalipia badala ya wewe ulipwe posho. Kutokusoma Napo vizur [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…