View attachment 1198593
Pia kummiss mpenzi mpaka kulia na kukumbuka marehemu woteeee [emoji125][emoji3601][emoji125][emoji3601][emoji125][emoji3601][emoji125][emoji3601]
Mie nikilewa nacheka sanaaaaaaa wakati nikiwa mzima sio mchekaji kabisaaa
But lazima mwisho wa pombe kilio kikali kitokee hadi usingizi(hapa namkumbukaga yule mjinga aliyeniachaga kipindi kile)
Jaribu
HapanaJaribu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hicho kilio hadi usingizi duuh, hivi ukiamka kesho yake hujicheki sana?Mie nikilewa nacheka sanaaaaaaa wakati nikiwa mzima sio mchekaji kabisaaa
But lazima mwisho wa pombe kilio kikali kitokee hadi usingizi(hapa namkumbukaga yule mjinga aliyeniachaga kipindi kile)
Wanaoniona nikiwa nimelewa ndio huwa wananicheka,mana nakuwaga full comedy 😅😅[emoji3] [emoji3] [emoji3] hicho kilio hadi usingizi duuh, hivi ukiamka kesho yake hujicheki sana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee.Mie nikilewa nacheka sanaaaaaaa wakati nikiwa mzima sio mchekaji kabisaaa
But lazima mwisho wa pombe kilio kikali kitokee hadi usingizi(hapa namkumbukaga yule mjinga aliyeniachaga kipindi kile)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee.
Uxhauri wa bureAcha pombe mkuu
comment yako niikute PMAmbao hatujawahi kuonja pombe tunacoment wapi jamani