Hii hunitokea mimi au hata na nyie wana chit chat

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
IMG_2104.JPG

Pia kummiss mpenzi mpaka kulia na kukumbuka marehemu woteeee [emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️
 
Mie nikilewa nacheka sanaaaaaaa wakati nikiwa mzima sio mchekaji kabisaaa

But lazima mwisho wa pombe kilio kikali kitokee hadi usingizi(hapa namkumbukaga yule mjinga aliyeniachaga kipindi kile)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie nikilewa nacheka sanaaaaaaa wakati nikiwa mzima sio mchekaji kabisaaa

But lazima mwisho wa pombe kilio kikali kitokee hadi usingizi(hapa namkumbukaga yule mjinga aliyeniachaga kipindi kile)
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hicho kilio hadi usingizi duuh, hivi ukiamka kesho yake hujicheki sana?
 
Mie nikilewa nacheka sanaaaaaaa wakati nikiwa mzima sio mchekaji kabisaaa

But lazima mwisho wa pombe kilio kikali kitokee hadi usingizi(hapa namkumbukaga yule mjinga aliyeniachaga kipindi kile)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee.
 
Back
Top Bottom