Hii Idara ni nyeti lakini inatumika ovyo kwa Nini?

Hii Idara ni nyeti lakini inatumika ovyo kwa Nini?

Kama hao vipenyo ndio wamejaa kwenye uongozi na nchi inayumba basi wao ndio tatizo. Wao pamoja na mfumo unabeba waty wa taasisi fulani kujazana kwenye uongozi.
 
Back
Top Bottom